Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JE WAJUA UNAWEZA KUNUNUA ARDHI KATIKA MAJENGO MAREFU YANAYOJENGWA SIKU HIZI ?

Na Bashir YakubMara  nyingi  tunapoongelea  umiliki  wa  ardhi  watu  wengi  hukimbilia  kufikiri  kumiliki  ardhi   labda  Pugu,  Bunju, Tegeta, Kimara  na  hata  huko  mikoani.   Wengi  hudhani  kumiliki  ardhi  lazima   iwe  nyumba  hizi  nyumba  za  kawaida   tulizozoea  au  kiwanja    kama  viwanja tulivyozoea au  shamba  kama  shamba.  Sikatai  kuwa  hizi  sio  ardhi   hapana  hizi  ni  ardhi   ila  ni  vema  sana  kuelewa  kuwa  ulimwengu  umekua  sana  na  kila  kitu  kimepanuka ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Je wajua unaweza pata mkaa kutokana na kinyesi ?

Kundi moja la vijana nchini Ghana limechukua jukumu la kupunguza madhara ya uchafuzi wa maji ya bahari kwa kutengeneza mkaa kutokana na maji taka.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tutumie lifti za majengo makubwa na marefu kistaarabu kuepuka ajali zisizo za lazima!

elevator-11Moja ya batani za lifti 

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[TANZANIA] Jiji la Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji makubwa katika bara la Afrika huku likiwa ni miongoni mwa majiji yanayoendelea kukuwa kwa kasi hasa katika nyanja za kiuchumi, biashara na ukuaji wa watu kila kukicha huku majengo makubwa na marefu ya makazi na kibiashara nayo yakishamili kila kukicha.

Tunaamini kuwa ukuaji wa majengo marefu na makubwa tukizoea kuyaita magorofa kama yanavyofahaamikaa katika majengo haya yamekuwa...

 

10 years ago

Michuzi

UNATAKA AU UMEFUNGUA KAMPUNI, JE WAJUA NAMNA YA KUNUNUA, KUUZA HISA


Na  Bashir  Yakub

Katika adhima ya  ya mwendelezo wa makala za namna ya kuendesha kampuni leo tena tuangalie  kuhusu hisa na hasa namna ya kuhamisha hisa.
HISA NININI.

Kwa maana ambayo inaweza kueleweka kwa wepesi zaidi  ni kusema kuwa hisa  ni aina ya maslahi ya mtu ya katika kampuni.Natumia neno aina kwakuwa maslahi katika kampuni ni mengi si hisa tu isipokuwa hisa ni mojawapo ya maslahi. Hivyo kile ambacho mtu anamiliki katika kampuni  ndio hisa zake. Hisa hutofautiana kutokana na uwezo wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: UNATAKA AU UMEFUNGUA KAMPUNI, JE WAJUA NAMNA YA KUNUNUA, KUUZA HISA

Na  Bashir  YakubKatika adhima ya  ya mwendelezo wa makala za namna ya kuendesha kampuni leo tena tuangalie  kuhusu hisa na hasa namna ya kuhamisha hisa. 
HISA NININI.Kwa maana ambayo inaweza kueleweka kwa wepesi zaidi  ni kusema kuwa hisa  ni aina ya maslahi ya mtu ya katika kampuni.Natumia neno aina kwakuwa maslahi katika kampuni ni mengi si hisa tu isipokuwa hisa ni mojawapo ya maslahi. Hivyo kile ambacho mtu anamiliki katika kampuni  ndio hisa zake. Hisa hutofautiana kutokana na uwezo wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JE WAJUA MUDA WA HATI YA NYUMBA UKIISHA WAWEZA KUNYANGANYWA ARDHI?

Na Bashir YakubKwa wale ambao tayari wana hati za majumba au viwanja wanajua wazi kuwa hati hizo zimeandikwa muda maalum, tofauti na wengi wanavyofikiria hasa wale ambao pengine hawajamiliki ardhi au wanamiliki ardhi lakini hawamiliki nyaraka hii.
 Hati unayopewa ina muda maalum wa kuishi. Sio kweli kwamba ukishapata hati basi ndio umemaliza, hapana. Kama ilivyo kwa bidhaa nyingine au nyaraka nyingine kwa mfano leseni za kuendeshea vipando...

 

10 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kununua ardhi kisheria

Uwanjani leo tutajikita kwenye kupata ardhi kwa njia ya kununua (by purchase) , wiki iliyopita tuliangalia upatikanaji wa ardhi kwa njia ya kugawiwa na Serikali ( by allocation).

 

10 years ago

Mwananchi

Unataka kununua ardhi? Zingatia haya

Ni Watanzania wengi wanamiliki ardhi. Pia ni wengi ambao wana kesi kwenye mabaraza ya ardhi na mahakamani kuhusu ardhi. Wengine wamedhulumiwa fedha au kula hasara kwa kununua ardhi bila kujua mambo muhimu ya kuangalia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,wajua Balotelli hunyolewa kila siku?

Mshambuliaji wa kilabu ya Liverpool Mario Baloteli hutumia pauni 500 kila wiki kunyoa nywele.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NJIA YA KISHERIA YA KUKUEPUSHA KUNUNUA ARDHI YENYE MGOGORO.

Na Bashir YakubMakala zilizopita  nilieleza   mambo au taarifa muhimu  zinazopaswa kuwa kwenye  mkataba wako  unapokuwa unanunua  nyumba/kiwanja. Nikasema  katika niliyosema  kuwa mkataba  lazima uoneshe  ukitokea mgogoro  utatatuliwa vipi,  ueleze kuwa  utapotokea mgogoro  muuzaji  lazima  awajibike kuhakikisha anakupa ushirikiano  mnunuzi  ili kumaliza  mgogoro huo na kuwa muuzaji  kama ana  mke  basi  mke wake ni lazima  aandaiiwe  nyaraka iitwayo  ridhaa ya mwanandoa ambayo  ni  tofauti ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani