Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JE, BADO HAUJATUMA VIDEO YAKO? TUMA SASA, MWISHO WA KUPOKEA VIDEO APRILI 15, 2014

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Sheddy Clever sasa kuanza kutengeneza video, aanzisha Burn Shine Video production

Producer aliyetengeneza hits kibao za Bongo Sheddy Clever wa studio ya Burn Records, ameendelea kutuonesha matunda aliyoyapata kupitia hits nyingi ikiwemo iliyompa ‘mileage’ kubwa huenda kuliko yoyote aliyowahi kutengeneza ‘Number 1’ ya Diamond Platnumz. Baada ya kuiboresha studio yake ya audio miezi michache iliyopita hivi sasa amefungua kitengo kingine cha kutengeneza video. Kupitia Instagram Sheddy […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Models 10 wa video za muziki Tanzania waliofanya vizuri/wanaovutia zaidi 2014/2015

Kwa miaka mingi wanawake wamekuwa wakitumika zaidi kupendezesha video za muziki duniani. Kazi hiyo imewawezesha baadhi ya video queens kuwa mastaa kwa kazi hiyo tu. Hii ni orodha yetu ya warembo 10 waliofanya vizuri zaidi kwenye video za wasanii wa Tanzania kwa mwaka 2014/2015. 1. Maggie Vampire – Wanawake wa Dar – Wakazi Kwa wahudhuriaji […]

 

10 years ago

BBC

VIDEO: BBC Africa 2014 video quiz

How many stories can you remember in 60 seconds?

 

9 years ago

Bongo5

Video: Noah Pv Ft Ibra O — Kura Yako

Video mpya ya msanii Noah Pv amemshirikisha Ibra O wimbo unaitwa “Kura Yako” video imeongozwa na kampuni Under After Daylight Films Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Habarileo

Wanafunzi Kilimanjaro kuketi sakafuni mwisho Aprili

SERIKALI mkoani Kilimanjaro imesema mwisho wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kukaa sakafuni mkoani humo ni Aprili mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

APRILI 30 MWISHO MATUMIZI YA VIFUNGASHIO ‘TUBINGS’ VYA PLASTIC


Katika kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la wazalishaji wa vifungashio vya plastiki aina ya tubings vinavyotumika kufungashia bidhaa kama karanga, ubuyu na barafu, vikiwa havina kibali kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS), havina lakiri (seal) wala alama (label) kama kanuni namba 3 inavyoelekeza. Vifungashio hivi sasa vinazalishwa kwa wingi kwa ukubwa mbalimbali na vimekuwa vikitumika kama mifuko ya kubebea bidhaa sokoni.

Kwa mantiki hiyo, Katika masoko yetu hali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani