Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi Kilimanjaro kuketi sakafuni mwisho Aprili

SERIKALI mkoani Kilimanjaro imesema mwisho wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kukaa sakafuni mkoani humo ni Aprili mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Bango Sangho yawezesha wanafunzi 150 Shule ya msingi Kibugumo kuketi

DSC_0003

Balozi wa India nchini, Mh. Debnath Shaw akisalimiana na Daktari bingwa wa Afya ya jamii na familia, Dkt. Ali Mzige kwenye hafla fupi ya kukabidhi madawati 50 pamoja majengo mawili ya shule ya msingi Kibugumo yaliyokarabatiwa na umoja wa jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo hapa Tanzania, BANGO SANGHO. Katikati ni Mbunge wa Kigamboni Dk Faustine Ndungulile. (Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi wetu

WANAFUNZI 150 waliokuwa katika dhiki ya elimu shule ya msingi...

 

11 years ago

Habarileo

RC akuta wanafunzi 200 wamekaa sakafuni

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amesikitika kuona wanafunzi 200 wa Shule ya Msingi Gongwe katika kijiji cha Mvumi kata ya Msowero wilayani Kilosa, wakikaa sakafuni kutokana na ukosefu wa madawati.

 

10 years ago

GPL

BANGO SANGHO YAWEZESHA WANAFUNZI 150 SHULE YA MSINGI KIBUGUMO KUKETI‏

Balozi wa India nchini, Mh. Debnath Shaw akisalimiana na Daktari bingwa wa Afya ya jamii na familia, Dkt. Ali Mzige kwenye hafla fupi ya kukabidhi madawati 50 pamoja majengo mawili ya shule ya msingi Kibugumo yaliyokarabatiwa na umoja wa jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo hapa Tanzania, BANGO SANGHO. Katikati ni Mbunge wa Kigamboni Dk Faustine Ndungulile. Balozi wa India… ...

 

5 years ago

Michuzi

APRILI 30 MWISHO MATUMIZI YA VIFUNGASHIO ‘TUBINGS’ VYA PLASTIC


Katika kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la wazalishaji wa vifungashio vya plastiki aina ya tubings vinavyotumika kufungashia bidhaa kama karanga, ubuyu na barafu, vikiwa havina kibali kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS), havina lakiri (seal) wala alama (label) kama kanuni namba 3 inavyoelekeza. Vifungashio hivi sasa vinazalishwa kwa wingi kwa ukubwa mbalimbali na vimekuwa vikitumika kama mifuko ya kubebea bidhaa sokoni.

Kwa mantiki hiyo, Katika masoko yetu hali...

 

10 years ago

Michuzi

Hatua za mwisho za Maandalizi Mbio za Kilimanjaro Marathoni 2015

Mabango mbalimbali yakiwa yamewekwa maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi kuashiria kuanza kwa shamrashamra za mbio za Kilimanjaro Marathoni.Baadhi ya wageni wakijiandikisha kukimbia mbio ndefu za kilometa 42 ambapo zoezi la uandikishaji linafanyika katika hotel ya Keys mjini Moshi.Washiriki wa mbio za Kilometa 21 zinazodhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya Tigo wakijiandikisha kwa ajili ya kupata namba maalumu wakati wa kukimbia mbio hizo. Baadhi ya wakimbiaji wakijaza fomu kwa ajili ya...

 

11 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA UDOM MWAKA WA MWISHO, WAAHIDI KUJIUNGA NA PPF

Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, akitoa mada kuhusiana na huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo kwenye semina iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa wanafunzi wa mwaka wa mwisho Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ambapo zaidi ya wanafunzi 500 walihudhuria semina hiyo Jumamosi Machi 29, 2014. Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), wakifuatilia mada kutoka kwa Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele. Meneja wa Kanda ya...

 

9 years ago

StarTV

Hali ya Wanafunzi wa darasa la 7 wanaofanya mitihani yao ya mwisho

Ikiwa ni siku ya kwanza ya watahiniwa wa Darasa la Saba kufanya mtihani wao wa kuhitimu elimu ya msingi nchi nzima, baadhi ya Shule za msingi jijini Dar Es Salaam zimeoneka kuwa katika hali ya utulivu na amani .

Wanafunzi wameendelea na maandalizi ya mtihani huo, wengine wakiwa wamekaa katika makundi wakijadiliana namna walivyoanza mtihani wengi wao wakiwa na matarajio ya kufanza vyema katika mitihani hiyo.

StarTv imepita katika Shule ya Msingi Kinondoni iliyopo katika Manispaa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani