RC akuta wanafunzi 200 wamekaa sakafuni
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amesikitika kuona wanafunzi 200 wa Shule ya Msingi Gongwe katika kijiji cha Mvumi kata ya Msowero wilayani Kilosa, wakikaa sakafuni kutokana na ukosefu wa madawati.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo01 Jan
Wanafunzi Kilimanjaro kuketi sakafuni mwisho Aprili
SERIKALI mkoani Kilimanjaro imesema mwisho wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kukaa sakafuni mkoani humo ni Aprili mwaka huu.
11 years ago
BBCSwahili15 Apr
Wanafunzi 200 watekwa nyara Nigeria
11 years ago
Habarileo14 Jul
DUCE yapokea wanafunzi 200 badala ya 500
LICHA ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu Dar es Salaam (DUCE) kuwa na uwezo wa kufundisha wanafunzi zaidi ya 500 wa masomo ya sayansi, wamekuwa wakipokea wanafunzi 200 tu wa masomo hayo.
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Wamekaa wanasubiri mwaka mpya, ghafla moto umezuka hotelini Dubai.. (+Video)
Wakati unahesabu dakika chache kuuvuka mwaka 2015 salama, najua kuna watu wangu wako kwenye nyumba za ibada wanamshukuru MUNGU, wengine wamekusanyika na ndugu jamaa na marafiki kwa utulivu kuenjoy huku wakisubiri na kuzihesabu kwa pamoja zile sekunde za mwisho za mwaka 2015 kwa amani kabisa, inanifikia taarifa kutoka Dubai kwamba jingo moja la Hoteli limewaka […]
The post Wamekaa wanasubiri mwaka mpya, ghafla moto umezuka hotelini Dubai.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Mbio za Sakafuni -3
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Mbio za sakafuni 2
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Mbio za sakafuni
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Tido Mhando:Mbio za sakafuni
10 years ago
Habarileo13 Jun
Dk Mwele akuta ofisi zimefungwa
KADA wa CCM anayetafuta wadhamini ili aombe ridhaa ya wanachama wenzake kupeperusha bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu ujao, Dk Mwele Malecela, amepata wakati mgumu wa kupata wadhamini katika Mkoa wa Manyara, baada ya kukosa mwenyeji wake.