Mbio za Sakafuni -3
“Unataka kinywaji gani?†Delilah alimuuliza Ben. “Hata bia moja mbili tatu hivi…†“Unasema bia†“Ndio manake…au unasemaje mwenzangu au wewe hutumii?†“Mimi natumia…†“Bali?†“Hata mimi nakunywa, unadhani ni wapi panafaa kupata kinywaji?†“Ziko sehemu nyingi tu, hata hapa Magomeni kuna grosari nyingi kila ko
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Mbio za sakafuni
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Mbio za sakafuni 2
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Tido Mhando:Mbio za sakafuni
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/x5nfMUvOqsg/default.jpg)
11 years ago
Habarileo03 Mar
RC akuta wanafunzi 200 wamekaa sakafuni
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amesikitika kuona wanafunzi 200 wa Shule ya Msingi Gongwe katika kijiji cha Mvumi kata ya Msowero wilayani Kilosa, wakikaa sakafuni kutokana na ukosefu wa madawati.
9 years ago
Habarileo01 Jan
Wanafunzi Kilimanjaro kuketi sakafuni mwisho Aprili
SERIKALI mkoani Kilimanjaro imesema mwisho wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kukaa sakafuni mkoani humo ni Aprili mwaka huu.