Mbio za sakafuni
Delilah Maurice Shikonyi, mwanadada mrembo akiwa anaendesha gari lake jioni moja alimgonga kwa bahati mbaya mtembea kwa miguu aliyevuka kizembe. Hata hivyo, wakati akiwa katika harakati za kumpa msaada, kundi la wananchi wenye hasira kali lilitokea na kutaka kumwadhibu. Kwa Bahati nzuri akatokea kijana mmoja mwenye misuli, Ben Kanyau ambaye alimwokoa na kuondoka naye.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Mbio za Sakafuni -3
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Mbio za sakafuni 2
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Tido Mhando:Mbio za sakafuni
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/x5nfMUvOqsg/default.jpg)
11 years ago
Habarileo03 Mar
RC akuta wanafunzi 200 wamekaa sakafuni
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amesikitika kuona wanafunzi 200 wa Shule ya Msingi Gongwe katika kijiji cha Mvumi kata ya Msowero wilayani Kilosa, wakikaa sakafuni kutokana na ukosefu wa madawati.
9 years ago
Habarileo01 Jan
Wanafunzi Kilimanjaro kuketi sakafuni mwisho Aprili
SERIKALI mkoani Kilimanjaro imesema mwisho wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kukaa sakafuni mkoani humo ni Aprili mwaka huu.