Mbio za sakafuni 2
lilah Maurice Shikonyi ni mwanadada mrembo akiwa anaendesha gari lake saa za jioni alimgonga kijana mmoja mtembea kwa miguu aliyevuka barabara kizembe.Akiwa katika harakati za kumpa msaada , kundi la wananchi wenye hasira kali lilitokea na kutaka kumwadhibu. Ghafla akatokea kijana mmoja mwenye misuli kwa jina la Ben Kanyau alitokea na kuondoka naye kutoka katika eneo hilo ili kuepukana na zahama zile.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Mbio za sakafuni
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Mbio za Sakafuni -3
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Tido Mhando:Mbio za sakafuni
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/x5nfMUvOqsg/default.jpg)
11 years ago
Habarileo03 Mar
RC akuta wanafunzi 200 wamekaa sakafuni
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amesikitika kuona wanafunzi 200 wa Shule ya Msingi Gongwe katika kijiji cha Mvumi kata ya Msowero wilayani Kilosa, wakikaa sakafuni kutokana na ukosefu wa madawati.
9 years ago
Habarileo01 Jan
Wanafunzi Kilimanjaro kuketi sakafuni mwisho Aprili
SERIKALI mkoani Kilimanjaro imesema mwisho wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kukaa sakafuni mkoani humo ni Aprili mwaka huu.