Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JE, WEWE NI MLEVI AU MNYWAJI?

LEO ningependa kutoa somo kwa jamaa walioanza tabia ya kunywa pombe na hawajajua kama  sasa wamefuzu na wanaweza kuitwa  walevi rasmi. Somo hili ni muhimu maana nimeshakuta watu wengi wakibisha kuwa wao si walevi ila wanywaji tu wa pombe. Baada ya darasa hili nategemea mtu atajijua kama yeye ni mlevi au mnywaji.
Mnywaji wa ukweli hupitia hatua kadhaa za ulevi, hatua ya kwanza ni Busara. Katika hatua hii pombe humpa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MNYWAJI WA POMBE ANAFAA KUWA MUMEO?

NI matumaini yangu wasomaji wa safu hii mko vizuri na mpo tayari kupokea mada mpya ambayo nimewaandalia. Namshukuru Mungu kwa kunipa afya, tuweze kujadili kwa pamoja mada iliyopo mezani. Mada inajieleza hapo juu, kutokana na visa na uzoefu mbalimbali waliopitia, wanawake wamekuwa na mtazamo tofauti juu ya wanaume ambao wanatumia kilevi.Wapo wanaoamini kwamba mwanaume ambaye anatumia kilevi hafai kuwa mume lakini wapo wengine...

 

9 years ago

GPL

HANA WIVU NA WEWE...HAKUFUATILII...MESEJI MPAKA UANZE WEWE... HUYO ANA MALENGO YAKE!

JAMANI pole na siasa. Naona zimepamba moto karibu kila kona ya nchi yetu ya Tanzania. Basi, wenye siasa zao tuwaachie, sisi tuendelee na mambo yetu.Wiki hii nina mada nzuri sana kwa wawili wanaopendana. Ningependa kila mmoja asome kwa umakini na ajue nini cha kufanya baada ya hapo. Mada inasema...hana wivu na wewe...hakufuatilii...meseji mpaka uanze wewe...Huyo ana malengo yake! Mpenzi wa hivi anaweza hata akawa anakulamba miguu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Meya mlevi wa Toronto

Meya mwenye utata wa mji wa Toronto, Rob Ford amesema kuwa atachukua likizo ya muda ili kutatua tatizo lake la ulevi.

 

11 years ago

Mwananchi

HEKAYA ZA MLEVI: Uzalendo siyo ugaidi

>Wabantu kuichukulia salamu kuwa ni habari kamili. Kule Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, usishangae kuulizwa kuku na bata “waghonile”?

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa shambulizi la Paris 'alikuwa mlevi'

Mshukiwa aliyeongoza mashambulio ya kigaidi mjini Paris Abdelhamid Abaaoud,alionekana akinywa pombe na kuvuta bangi na watu wengine nje ya nyumba yake.

 

9 years ago

Global Publishers

Kajala: Mwanangu Paula ni mlevi wa kuogelea

IMG_4058
Mtoto wa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja, Paula Paul akiwa anaogelea na mwenzie.

Musa Mateja

Mtoto wa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja, Paula Paul anadaiwa kuwa mlevi wa kuogelea ambapo kila wikiendi amekuwa akimlazimisha mama yake ampeleke bichi.

Mtu wa karibu wa Kajala aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini aliliambia Ijumaa kuwa, Paula amekuwa akimsumbua mama yake ampeleke bichi kila ifikapo mwisho wa wiki.

IMG_4092“Yaani yule mtoto ni mlevi wa kuogelea, kila wikiendi lazima...

 

11 years ago

Mwananchi

HEKAYA ZA MLEVI: Ni wajibu kuwajibika pasi na kutukanika

Mtu akikwambia kuwa una akili za kitoto, nenda kamshtaki. Sina uhakika kama kuna kifungu cha sheria kinachohalalisha mashtaka ya aina hiyo, ama nianze maombi ya kulipenyeza hilo ndani ya Bunge Maalumu la Katiba. Lakini mtu mzima kuambiwa ana akili za kitoto si jambo dogo.

 

10 years ago

Mwananchi

HEKAYA ZA MLEVI: Paka shume sina jalala...

>Mtu mzima anapoambiwa kuwa na mambo ya kitoto, anaweza kupasuka. Siyo kama mtoto ni mjinga saaaaaana, hapana. Ila mtoto huwaza kidogo, kufurahi sana na kupumzika zaidi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwivi huenda na wezi, mlevi nao walevi

MWIVI huenda na wezi wenzake kama ilivyo mlevi na walevi wenziwe. Ni methali inayotukumbusha kwamba watu wenye wasifu na tabia zinazolingana aghalabu hupatana na kuelewana vizuri. Takriban miezi 12 imebaki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani