Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jen Ndindiliyimana hakusika na mauaji ya halaiki-UM

Mahakama ya Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji ya halaiki nchini Rwanda imemuondolea lawama aliyekuwa mkuu wa polisi Augustin Ndindiliyimana.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Jen.Traore ajitangaza rais Burkina Faso

Mkuu wa Jeshi la Burkina Faso jenerali Honore Traore sasa amejitangaza kuwa rais baada ya kujiuzulu kwa Blaise Compaore

 

9 years ago

BBCSwahili

Kaburi la halaiki lapatikana Kenya

Wakaazi wa mji wa Mandera, Kaskazini Mashariki mwa Kenya wanasema wamegundua zaidi ya miili 20 yaliyozikwa kwenye makaburi ya jumla.

 

10 years ago

Mwananchi

Mpigania ukombozi wa Afrika Brig Jen Mbita afariki dunia

Katibu mtendaji wa iliyokuwa Kamati ya Ukombozi Kusini mwa Afrika, Brigedia Jenerali Hashim Mbita (82), amefariki dunia jana saa tatu asubuhi katika Hospitali ya Jeshi, Lugalo, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi mbalimbali nchini Msumbiji wamkumbuka Brig. Jen. Hashim Mbita

Kitabu cha maombolezo ya Marehemu, Brig. Jen. Hashim Mbita kwenye Ubalozi wa Tanzania, Maputo Msumbiji.Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Msumbiji, Mhe. Joaquim Chissano akiweka saini kitabu cha maombolezo ya Marehemu Brig, Jen. Hashim Mbita aliefariki dunia April 26, 2015.Rais msataafu wa awamu ya tatu wa Msumbiji, Mhe. Armando Guebuza akiweka saini kitabu cha maombolezo ya Marehemu Brig, Jen. Hashim Mbita aliefariki dunia April 26, 2015.Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mh. Shamim Nyanduga...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU MPYA WA MSD BRIG. JEN MHIDIZE AWASILI OFISINI




Mkurugenzi Mkuu mpya wa MSD Brig. Jen. Dkt. Gabriel Sauli Mhidize amepokelewa ofisini kwake, Keko Dar es Salaam na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa MSD Bw. Laurean Bwanakunu.

Aidha Brig. Jen. Dkt. Gabriel Sauli Mhidize, amekutana na kuzungumza na Menejimenti ya Bohari ya Dawa (MSD).


Brig. Jen. Dkt. Gabriel Sauli Mhidize aliteuliwa tarehe 3 may,2020 na Rais John Magufuli kushika nafasi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Makomandoo, halaiki watia fora sherehe za Muungano

Tanzania jana iliadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar huku viongozi wa upinzani wakisusia sherehe hizo za mwisho katika utawala wa Rais Jakaya Kikwete ambazo, makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), walitia fora.

 

11 years ago

Mwananchi

Walalamikia posho kiduchu kucheza halaiki Zanzibar

Wanafunzi 200 wa shule za msingi Zanzibar walioshiriki kucheza halaiki ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, wamelalamika kulipwa viwango vidogo vya posho kulinganishwa na wenzao kutoka Tanzania Bara.

 

9 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Nigeria lilizika 300 katika makaburi ya halaiki

Majeshi ya Nigeria yalizika zaidi ya miili 300 ya wasilamu wa Shia katika makaburi ya halaiki -Human Rights Watch

 

5 years ago

Michuzi

MAKABURI YA HALAIKI YENYE MAITI 6000 YAPATIKANA BURUNDI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

ZAIDI ya miili 6000 imepatikana katika makaburi ya halaiki nchini Burundi huku maiti 6032 na maelfu ya risasi yamegundulika katika makaburi sita ya halaiki katika eneo la Karusi nchini humo.

Mamlaka nchini Burundi imetangaza kugundua zaidi ya miili 6000 katika makaburi sita ya watu waliozikwa kijumuiya.

Yaliyogunduliwa katika eneo la Karusi ni makubwa kutokea tangu Serikali itangaze kuanza kwa kampeni ya kugundua makaburi hayo mwezi Januari 2014.

Pierre Claver...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani