Jenerali Diendere kurejesha madaraka
Jenerali Gilbert Diendere aliyefanya mapinduzi nchini Burkina Faso amesema kuwa yupo tayari kukabidhi serikali kwa utawala wa kiraia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-CNrdSSxCSno/Uu4bYDGmaWI/AAAAAAAFKQk/_Z9Fg4VKS_w/s72-c/unnamed+(10).jpg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AHUDHURIA SHEREHE ZA KUKABIDHIWA MADARAKA YA UONGOZI KWA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-CNrdSSxCSno/Uu4bYDGmaWI/AAAAAAAFKQk/_Z9Fg4VKS_w/s1600/unnamed+(10).jpg)
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
Diendere akwamilia mamlaka Burkina Faso
Jenerali Gilbert Diendere, aliyeongoza mapinduzi ya serikali Burkina Faso, anataka kuendelea kuongoza hadi uchaguzi ufanyike.
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Diendere ashtakiwa kwa mauaji ya Sankara
Kiongozi wa mapinduzi Burkina Faso, Gilbert Diendere ameshtakiwa kwa mauaji ya rais wa zamani wa nchi hiyo Thomas Sankara
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-99HEHm0ZvM0/XtevPQgzmTI/AAAAAAALshk/5ELLomRu-SI5EU2yx-2uhE1OqLszJjSBwCLcBGAsYHQ/s72-c/fa1a6d32-476f-4aa3-931d-bc28043d47dd.jpg)
CGP SULEIMAN MZEE APANDISHWA CHEO NA RAIS MAGUFULI TOKA BREGEDIA JENERALI KUWA MEJA JENERALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-99HEHm0ZvM0/XtevPQgzmTI/AAAAAAALshk/5ELLomRu-SI5EU2yx-2uhE1OqLszJjSBwCLcBGAsYHQ/s640/fa1a6d32-476f-4aa3-931d-bc28043d47dd.jpg)
Meja Jenerali Suleiman Mzee ambaye pia ni Kamishna Jenerali wa Magereza, akizungumza na Maafisa na askari wa Makao Makuu ya Jeshi la Magereza(hawapo pichani) mapema leo Juni 3, 2020 katika hafla fupi ya kumpongeza iliyofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza leo Juni 3, 2020, jijini Dodoma. Meja Jenerali Mzee amepandishwa cheo hicho na Rais na...
9 years ago
BBCSwahili29 Dec
Njama ya kuokoa Diendere yatibuka Burkina Faso
Takriban maafisa 20 wa kijeshi wamekamatwa nchini Burkina Faso baada ya serikali kutibua njama ya kumuachilia huru kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika mwezi Septemba.
11 years ago
BBCSwahili08 Jun
Al-Sisi akabidhiwa madaraka
Baada ya kuapishwa, rais mpya wa Misri akabidhiwa madaraka na kiongozi wa mpito anayeondoka madarakani
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Israel kurejesha uhusiano na Uturuki
Israel na Uturuki zimefikia makubaliano ya awali na kufufua uhusiano wa kidiplomasia, afisa wa Israel amesema.
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Mil. 97/- kurejesha maji Ubungo
HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imetenga sh 97,869,980 kwa mwaka wa fedha 2013/2014 ili kukarabati miundombinu na kurejesha huduma ya maji katika maeneo yasiyo na huduma hiyo. Hayo yalibainishwa na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania