Mil. 97/- kurejesha maji Ubungo
HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imetenga sh 97,869,980 kwa mwaka wa fedha 2013/2014 ili kukarabati miundombinu na kurejesha huduma ya maji katika maeneo yasiyo na huduma hiyo. Hayo yalibainishwa na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-aVqB36xBQMQ/Xvg7cOGWWKI/AAAAAAABMoQ/1ganG9WbyfYqPHPLVZqTAboPP9QNn-oqgCLcBGAsYHQ/s72-c/TAKUKURU.jpg)
9 years ago
Habarileo11 Sep
‘Nipeni Ubungo nitatue kero ya maji’
MGOMBEA wa Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha UPDP, Naomi Mabrouk amewaomba wananchi wa jimbo hilo kumpa ridhaa ya kuwa mbunge wao ili aweze kutatua kero mbalimbali ikiwemo ya muda mrefu ya maji.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZKjpPX9gtzWM1a0yjyC9gfOV2Xiuv90ncCjHdWNhjNz7Mg66YIPZL5WoYZtn4*AgzDs2w8ZX2ekhwS3MWuR9HaY6Dj7jrYc-/IMG20140902WA0006.jpg?width=650)
MWANAMKE AGONGWA NA DALADALA UBUNGO MAJI
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Mnyika ‘amvaa’ Kikwete kilio cha maji Ubungo
5 years ago
CCM BlogNMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA SHULE VYA SH. MIL 15 WILAYA YA UBUNGO
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Mil. 537/- zatumika miradi ya maji
SHILINGI mil. 537 zimetumika kukabiliana na tatizo la upungufu wa maji katika Kata ya Mlimba na Kamwene wilayani Kilombero, mkoani Morogoro. Akizungumza katika maadhimisho ya Wiki ya Maji katika Tarafa...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Mil.394/- kupeleka maji Uvinza
JUMLA ya sh milioni 394.5 zimetengwa kwa ajili ya kutekeleza mradi wa maji kwenye Kijiji cha Kandaga wilayani Uvinza, Kigoma. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Nchi,...
10 years ago
Habarileo11 Jul
Mradi wa maji wa Sh mil 692 Kibati wakamilika
WANANCHI wapatao 10,000 wa vijiji vya Salawe na Hoza, Kata ya Kibati, wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro wameanza kupata huduma ya maji safi na salama kutokana na kukamilika kwa ujenzi mradi wa maji uliogharimu Sh milioni 692.1.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-DmiXLrKF4Lg/VD2AZI-ukCI/AAAAAAAGqg0/0bmxLjkTMjE/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
MUHEZA KUPATA MIL 500 KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI
Mhe. Makalla alitoa kauli hiyo leo, alipotembelea Wilaya hiyo kukagua utekelezaji wa miradi ya maji na hali ya huduma ya maji wilayani humo.
“Nawapongeza sana Halmashauri yenu na uongozi wake kwa kununua mashine kwa ajili ya kuchimba visima vya maji, sijawahi kutembelea Wilaya yoyote nchini nikakuta jambo hili. Kitendo cha Halmashauri kukusanya...