Mil.394/- kupeleka maji Uvinza
JUMLA ya sh milioni 394.5 zimetengwa kwa ajili ya kutekeleza mradi wa maji kwenye Kijiji cha Kandaga wilayani Uvinza, Kigoma. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Nchi,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWIZARA YA MAJI KUTENGA SHILINGI BILIONI 2, KUPELEKA MAJI MASHULENI NA VITUO VYA AFYA
Wanafunzi wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Tumaini iliyopo wilayani Iramba mkoani Singida wakifurahia kupata bomba la maji kwa ajili ya kutakasa mikono ili kujikinga na Covid 19 lililo jengwa na Wizara ya Maji kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Singida (SUWASA) Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo (kulia) akika utepe kuashiria uzinduzi wa bomba la maji lililojengwa na wizara hiyo kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Serikali yatakiwa kupeleka maboza ya maji Kondoa
MBUNGE wa Viti Maalum, Moza Abeid (CUF), ameitaka serikali kufanya haraka kuwapelekea maboza ya maji wananchi wa Mji Mdogo wa Kondoa wakati wakishughulikia mashine za kusukuma maji katika mji huo....
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Mil. 97/- kurejesha maji Ubungo
HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imetenga sh 97,869,980 kwa mwaka wa fedha 2013/2014 ili kukarabati miundombinu na kurejesha huduma ya maji katika maeneo yasiyo na huduma hiyo. Hayo yalibainishwa na...
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Mil. 537/- zatumika miradi ya maji
SHILINGI mil. 537 zimetumika kukabiliana na tatizo la upungufu wa maji katika Kata ya Mlimba na Kamwene wilayani Kilombero, mkoani Morogoro. Akizungumza katika maadhimisho ya Wiki ya Maji katika Tarafa...
10 years ago
Habarileo11 Jul
Mradi wa maji wa Sh mil 692 Kibati wakamilika
WANANCHI wapatao 10,000 wa vijiji vya Salawe na Hoza, Kata ya Kibati, wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro wameanza kupata huduma ya maji safi na salama kutokana na kukamilika kwa ujenzi mradi wa maji uliogharimu Sh milioni 692.1.
11 years ago
Habarileo16 Feb
Ashangaa halmashauri kushindwa kutumia mil 700/- za maji
NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla, ameshangazwa na utendaji wa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero kwa kushindwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maji hali inayoifanya iwe na kiwango cha chini cha upatikanaji wa maji cha asilimia 35 katika Mji wa Ifakara tofauti na lengo lililowekwa na Serikali.
10 years ago
MichuziMUHEZA KUPATA MIL 500 KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI
Mhe. Makalla alitoa kauli hiyo leo, alipotembelea Wilaya hiyo kukagua utekelezaji wa miradi ya maji na hali ya huduma ya maji wilayani humo.
“Nawapongeza sana Halmashauri yenu na uongozi wake kwa kununua mashine kwa ajili ya kuchimba visima vya maji, sijawahi kutembelea Wilaya yoyote nchini nikakuta jambo hili. Kitendo cha Halmashauri kukusanya...
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Miradi miwili ya maji Wilaya ya Mkalama kutumia Sh799 mil
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 56 ZA KISIMA CHA MAJI MKURANGA
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Kusini,...