Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeraha lamuondoa Neymar katika michuano

Nyota wa timu ya soka ya Brazil Neymar hatoshiriki tena katika michuano ya kombe la dunia baada ya kuvunjika mfupa .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Benchi lamuondoa Owino Simba SC

Beki wa kati wa Simba, Mganda, Joseph Owino. Na Wilbert Molandi
BENCHI limetajwa ndiyo chanzo cha beki wa kati wa Simba, Mganda, Joseph Owino kuchukua maamuzi ya kurudi kwao na kuiacha timu hiyo inayoendelea na michuano ya Kombe la Mapinduzi. Beki huyo, hivi karibuni alirejea nyumbani kwao Uganda mara baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar ambayo Simba ilifungwa bao 1-0 huku Owino akianzia benchi....

 

10 years ago

BBCSwahili

CAF:Morocco kushiriki katika michuano

Shirikisho la soka barani Africa CAF limethibitisha kuwa Morocco itashiriki katika mechi za kufuzu kwa dimba la Afrika mwaka 2017.

 

10 years ago

BBCSwahili

AFCON:Ebola yadhibitiwa katika michuano

Rais wa Shirikisho la Soka nchini Equatorial Guinea amesema kuwa athari ya ugonjwa wa Ebola nchini humo imedhibitiwa

 

11 years ago

Michuzi

Rekodi katika michuano ya Olimpiki Sochi, Urusi

Michuano ya 22 ya Olimpiki ya majira ya baridi imeanza jana huko Sochi nchini Russia. Mabadiliko mengi yametokea katika miaka sita na nusu ya maandalizi yake Na wakati mamilioni ya watu duniani wakiwa wameelekeza macho na masikio yako huko, kujua nani atashinda nini na nani atavunja rekodi gani, tayari rekodi kubwa zaidi katika michuano hiyo imevunjwa hata kabla ya kuanza kwake. Na tuipitie safari safari ya maandalizi ya michuano hii mpaka ilipofikia na baadhi ya vikwazo ilivyopambana...

 

9 years ago

Michuzi

Mwanza yaiadhibu Morogoro katika michuano ya Airtel Rising Stars

Patashika ya michuano ya vijana chini ya miaka 12 ya Airtel Rising Stars ngazi ya taifa, imeendelea kutimua vumbi katika dimba la Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam, ambapo timu za Temeke na Mwanza zilipepetana kwa upande wa wasichana huku Mwanza na Morogoro walitifuana vikali kwa upande wa wavulana. Kwa kuanzia na mchezo ambao ulizikutanisha timu za wavulana, Mwanza waliwasambaratisha vibaya Morogoro kwa kuwashindilia magoli 3-1. Mwanza ambao walionekana kutakata kila idara,...

 

9 years ago

Bongo5

Gareth Bale aifungia Wales goli muhimu katika michuano ya Ulaya

Timu ya taifa ya Wales huenda ikawa imechungulia kufuzu kucheza michuano ya mataifa ya Ulaya baada ya kushindwa kufuzu kwa takribani miaka 57 iliyopita. Hii ni baada ya kupata ushindi wa dakika za lala salama wa goli 1-0 wakati ikicheza na Cyprus jana kwenye mechi ya kuwania kufuzu kucheza michuano ya Ulaya mwaka 2016. Shujaa […]

 

10 years ago

Michuzi

FC VITO YAWA KINARA KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA HELSINKI CUP 2015, FINLAND

TIMU ya soka ya vijana chini ya miaka 11 ya FC Vito Kilwa ya Kilwa mkoani Lindi, imemaliza mechi za hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Helsinki Cup 2015 kwa kishindo, baada ya kushinda mechi nne na kutoka sare moja, hivyo kumaliza ikiwa kinara wa Kundi BJ/11 ikiwa na pointi 13.
Zaidi ya timu 1,200 zinashiriki michuano hiyo ya nne kwa ukubwa miongoni mwa michuano ya vijana barani Ulaya, inayoendelea kushika kasi jijini Helsinki nchini Finland, ambako Tanzania inawakilishwa na FC Vito...

 

9 years ago

Dewji Blog

Haya ndiyo aliyoyasema Neymar kuhusu kuwepo kwake katika orodha ya wachezaji wanaowania tuzo Za mchezaji bora duniani (Ballon D’or)

neymar-fc-barcelona-2013-2014

Mchezaji wa klabu ya Barcelona, Neymar.

Na Rabi Hume

Staa wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona, Neymar Da Silva Santos maarufu kama Neymar mwishoni kwa wiki hii alizungumzia kuhusu kushiriki kwake katika tuzo za mchezaji bora duniani maarufu kama Ballon d’Or zinazotolewa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).

Neymar amesema amekuwa akishiriki katika tuzo hizo lakini si kitu ambacho amekuwa akikipa nafasi katika maisha yake ya soka kutokana na kuwepo kwa wachezaji wengine ambao...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe Nkamia afungua michuano ya Klabu Bingwa ya Netiboli katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma

 Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe Juma Nkamia  katika picha ya pamoja na kikosi cha JKT  Dodoma mara baada ya kukagua vikosi hivyo.Timu hizi ndizo zilizo funguwa mashindano haya ya Klabu Bingwa ya Netiboli katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe Juma Nkamia  katika picha ya pamoja na Kikosi cha Police Dodoma  baada ya kukagua vikosi hivyo.Timu hizi ndizo zilizo funguwa mashindano haya ya Klabu Bingwa ya Netiboli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani