Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jermaine Dupri asema wimbo mpya ya Ciara ‘I Bet’ ni copy ya ‘U Got It Bad’ ya Usher

Producer mkongwe wa Marekani, Jermaine Dupri amesema kuwa wimbo mpya wa muimbaji wa kike wa R&B Ciara uitwao ‘I Bet’ unafanana sana na wimbo wa zamani wa Usher ‘U Got It Bad’. Katika mahojiano ya hivi karibuni, Dupri (42) amesema kuwa anauhakika na kile anachokisema kwasababu yeye ndiye producer wa wimbo wa Usher uliotoka mwaka […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Mariah Carey ampiga chini aliyekuwa meneja wake Jermaine Dupri, nafasi yake imezibwa na Kevin Liles

Mwimbaji Mariah Carey amempiga chini aliyekuwa meneja , producer na mshkaji wake wa muda mrefu Jermaine Dupri aka JD ambaye alikuwa kwenye timu yake ya uongozi. Mariah Carey na JD Inadaiwa kuwa mauzo mabovu ya album mpya ya Mariah Carey iitwayo ‘Me. I Am Mariah…The Elusive Chanteuse’ ambayo imeuza nakala 103,000 tu toka ilivyotoka May […]

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Usher aachia wimbo mpya aliomshirikisha Nicki Minaj na kutengenezwa na Pharrell ‘She Came to Give It to You’

Usher Raymond jana (July 8) ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘She Came to Give It to You’ baada ya ‘Good kisser’. Katika wimbo huo kamshirikisha rapper wa kike Nicki Minaj. Producer wa wimbo huo ni hit maker wa ‘Happy’, Pharrell Williams. Wimbo huu utapatikana katika album ya nane ya Usher inayotarajiwa kutoka mwezi September mwaka […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Ciara — I Bet

Ciara ametoa single mpya “I Bet” ikiwa ni ya kwanza kutoka kwenye album yake ijayo ambayo itakuwa ya sita. Wimbo huu ni R&B ya miondoko ya taratibu. Isikilize hapa

 

10 years ago

Mwananchi

Usher na Kanye West kutingisha BET Awards 2015

Leo ni siku ambayo litarekodiwa tukio la nane la kihistoria la kutunza wanamuziki ambao mchango wao ni mkubwa katika medani ya muziki wa kizazi kipya duniani, maarufu kwa jina la BET Music Awards.

 

10 years ago

Bongo5

Alikiba asema ‘soon’ ataachia wimbo na video mpya

Msanii wa muziki, Alikiba amesema kuwa baada ya kuona wimbo wa “Mwana” umefanya vizuri anatarajia kuachia wimbo mpya ambao utakuja pamoja na video. Akizungumza na Planet Bongo ya EATV, Kiba amesema hana muda wa kusubiria kama mwanzo, sasa hivi ni ngoma baada ya ngoma. “Kinachofuata ni kazi kama nilivyo wa-promise before, hakuna gape, kwaiyo soon […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Nicki Minaj asema hakuwahi kuhusiana kimapenzi na Drake wala Lil Wayne kwenye wimbo mpya ‘Only’

Nicki Minaj ameachia rasmi single mpya iitwayo ‘Only’ kama alivyoahidi, ambayo kawashirikisha Chris Brown, Drake na Lil Wayne. Hii ni single ya tatu kutoka kwenye album yake mpya itakayotoka Dec.16, ‘The Pink Print’. Katika ‘Only’ Minaj amesema hakuwahi kuhusiana kimapenzi na wasanii aliowashirikisha yaani Lil Wayne na Drake katika maisha yake. Mwanzoni kabisa mwa wimbo […]

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Future kumshambulia Ciara kwenye Twitter… kambi ya Ciara haijamuacha bure!

Mvutano kati ya Future na Ciara juu ya malezi ya mwano, ‘Baby Future’ umezidi kuwa mkubwa, baada ya Future kumshambilia vikali Ciara, kambi ya Ciara haijakaa kimya wao pia wameongea na kueleza upande wao wa stori. Kwa mujibu wa mtandao wa E!News wa Marekani, kambi ya Ciara imepinga tuhuma za Future kupitia page yake ya […]

The post Baada ya Future kumshambulia Ciara kwenye Twitter… kambi ya Ciara haijamuacha bure! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani