Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeshi la Iraq lapiga hatua dhidi ya IS

majeshi ya nchi ya Iraq kwa mara nyingine tena, yamepiga hatua kubwa katika juhudi zao za kuutwa kabisa mji wa Tikrit kutoka kwa IS

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Iraq wapiga hatua dhidi ya IS

Wanajeshi wa Iraq wamepiga hatua kwenye operesheni yao dhidi ya wapiganaji wa Islamic State mjini Ramadi.

 

11 years ago

Dewji Blog

Chonde chonde …..Jeshi la Polisi chukueni hatua dhidi ya mabomu haya!

arusha pics

WATANZANIA taratibu wameanza kuona kama ni mchezo wa kuigiza au mazoea pale kila baada ya muda fulani tukio la kulipuka kwa bomu katika kanisa au sehemu ya mkusanyiko au kwenye mkutano wa kisiasa kama ni jambo la kawaida.

Imefikia mahali kwamba milipuko ya mabomu inaanza kuonekana kama ni sehemu ya utamaduni wetu kwa kukubali kwa kirahisi watu wenye dhamira ovu na katili ya kutaka kuangamiza binadamu wenzao pasipo sababu ya msingi na hata kama mtu ana sababu ya msingi kuelezea hisia zake...

 

9 years ago

Habarileo

Jeshi la Polisi lapiga ‘stop’maandamano ya Chadema

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyopangwa kufanyika bila ukomo kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni kinyume cha sheria.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

JESHI LA POLISI LAPIGA MARUFUKU SHUGHULI ZA KUAGA MWILI WA ALPHONSE MAWAZO

Viongozi wa Chadema wakijadiliana baada ya Jeshi la Polisi kupiga marufuku shughuli za kuaga mwili wa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse Mawazo, zilizokuwa zifanyike Jijini Mwanza.  Pichani baadhi ya vijana walioshiriki kuchimba kaburi la marehemu Alphonse Mawazo anayetarajia kuzikwa kijijini kwao alipozaliwa Mkoani Geita.

 

9 years ago

StarTV

Jeshi la Polisi latakiwa kuwachukulia hatua za kinidhamu askari wanaotoa siri za jeshi hilo

Jeshi la polisi mkoani Tabora limeagizwa kuwachukulia hatua za kinidhamu za kijeshi askari polisi ambao wanajihusisha na vitendo vya kihalifu na utoaji siri za jeshi kwa wahalifu kwa makusudi ya kujipatia kipato.

Agizi hilo limetolewa na Mkuu wa mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila amesema ni aibu kubwa kwa Jeshi la Polisi kuendelea kufanya kazi na Askari wasio waaminifu wanaovujisha siri za kupambana na uhalifu.

Agizo hilo la Mkuu wa mkoa wa Tabora Ludovick Mwananzila amelitoa katika hafla...

 

9 years ago

Vijimambo

JESHI LA POLISI MBEYA LAPIGA MARUFUKU KWENDA KUPIGA KURA UKIWA UMEVAA SARE ZA VYAMA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya


Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limetoa rai kwa wafuasi wa vyama vishiriki katika uchaguzi mkuu Octoba 25 mwaka huu kujiepusha kufika katika kituo cha kupigia kura wakiwa wamevaa nguo zenye picha za wagombea, maneno au nembo ama rangi za chama cha siasa.

Aidha wametakiwa , kuepuka kutumia uvumi, maneno ya uongo, hisia au visingizio vyenye lengo la kuwazuia wengine kwenda kupiga kura.
Pia amewataka  kuepuka kufanya kampeni katika kituo cha kupigia kura iwe kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

JESHI LA POLISI NCHINI LAPIGA MARUFUKU MISAFARA YA KWENDA KUCHUKUA FOMU NEC PAMOJA NA KUSAKA WADHAMINI

          Na Lorietha Laurence –Maelezo. 

Jeshi la Polisi nchini limesitisha maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa kuchukua ,kutafuta wadhamini, na kurejesha fomu za kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. 
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Naibu Inspekta Jenerali wa jeshi la Polisi Abdulrahman Kaniki amesema kuwa jeshi limechukua hatua hiyo kutokana na ukiaukwaji wa sheria za usalama barabarani...

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LAPIGA MARUFUKU WAGOMBEA WA VYAMA VYA SIASA KU FANYA VITENDO VINAVYOHATARISHA USALAMA.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIAPRESS RELEASE25/08/2015Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limegundua kwamba kuna baadhi ya wagombea wa vyama vya siasa ambao wameanziasha mtindo wa kutembelea maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam kama vile vituo vya daladala, masoko mbalimbali, n.k. kwa madai ya kuyatembelea makundi ya watu wenye kipato cha hali ya chini.
Kutokana na uzoefu uliojitokeza katika ziara hizo zisizo rasmi ni kwamba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani