Jeshi la Kenya lawashambulia Alshabaab
Jeshi la Kenya limedai kuishambulia ngome ya Alshabab, Jilib, na kuwaangamiza baadhi ya wakuu wa kundi hilo la wapiganaji haramu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Kenya yamsaka mpiganaji wa Alshabaab
Maafisa wa polisi nchini Kenya wametoa zawadi ya dola laki moja kwa mtu yeyote atakayemkamata raia wa Ujerumani anayetuhumiwa kuhusika katika shambulizi la kundi la Alshabaab.
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Alshabaab:Viongozi wapokea vitisho Kenya
Viongozi wawili wa dini nchini Kenya wameiambia BBC kwamba wamepokea vitisho vya kuuawa kutoka kwa wapiganaji wa Alshabaab
10 years ago
BBCSwahili22 May
Alshabaab yavamia tena vijiji 3 Kenya
Al-Shabaab yavamia vijiji 3 Kaskazini Mashariki mwa Kenya na kupeperusha bendera yao kabla ya kutimuliwa na maafisa wa usalama
10 years ago
BBCSwahili02 Jun
Alshabaab ladaiwa kuviteka vijiji Kenya
Hofu kubwa imetanda Kaskazini mwa nchi ya Kenya,baada ya kuwepo kwa taarifa kwamba kundi la wapiganaji wa Al shabaab limeviteka vijiji Kenya
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
Jeshi la Kenya latuhumiwa Somalia
Jeshi la Kenya limetuhumiwa kujihusisha na biashara haramu, badala ya kufanya kazi zinazowahusu nchini Somalia.
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Jeshi la Uingereza kufanya mazoezi Kenya
Uingereza imetia saini mkataba wa makubaliano ya kuendelea kuwa na kambi yake ya jeshi nchini Kenya kwa miaka mitano zaidi.
11 years ago
BBCSwahili21 Jul
Akaunti ya Twitter ya jeshi la Kenya yavamiwa
Akaunti ya Twitter ya jeshi la Kenya imevamiwa na wanaharakati ambao wanasema wanapinga ufisadi.
10 years ago
BBCSwahili02 Nov
Kambi ya jeshi yavamiwa Mombasa,Kenya
Wanajeshi katika kambi ya jeshi ya Nyali iliopo mjini Mombasa pwani ya Kenya wamewaua kwa kuwapiga risasi watu 5
10 years ago
BBCSwahili06 Apr
Jeshi la Kenya lafanya shambulio Somalia
Jeshi la Kenya limeshambulia maeneo mawili ya jimbo la Gedo nchini Somalia,ambalo ni makao ya wapiganaji wa kundi la Alshabaab
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania