Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeshi la Polisi Kigoma lawakamata wahamiaji wasio rasmi 75

Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma SACP Ferdinand Mtui, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu tukio la kukamatwa kwa wahamiaji haramu. (Picha na Emmanuel Senny)

Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma SACP Ferdinand Mtui, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu tukio la kukamatwa kwa wahamiaji haramu. (Picha na Emmanuel Senny).

Na Emmanuel Senny, Kigoma

Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linawashikilia wahamiaji haramu 75 wakijihusisha na shughuli za kilimo mara baada ya kufanya msako katika Wilaya za Kasulu, Uvinza na Kigoma mjini.

Akizungumza na waandishi wa habari hapo jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, SACP Ferdinand Mtui, alisema...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi la DRC lawakamata waasi 182

Harakati za kuifurusha kundi la wapiganaji wa FDLR imeshika kasi majeshi ya DRC ikidaiimewashika wapigani 182 na silaha zao

 

11 years ago

Michuzi

WAHAMIAJI HARAMU 46 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MKOANI RINGA

Wahamiaji Haramu hao walikamatwa juzi katika kitongoji cha Gezaurole katika kata ya Ruaha Mbuyuni tarafa ya Mahenge wakati jeshi la polisi likiwa katika doria ya kawaida na kulitilia mashaka gari hilo lililokuwa limebeba matenga ya Nyanya.  Kiongozi wa Wahamiaji Haramu,akiwagawia wenzake mikate  ilionunuliwa na wanahabari waliokuwepo kwenye tukio hilo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi mkoani humo.  Kiongozi wa Wahamiaji Haramu,akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na sakata lao...

 

11 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LINAWASHIKILIA WAHAMIAJI HARAMU RAIA WA ETHIOPIA NA MALAWI KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI.

 Watu  waliokamatwa kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria  Afisa uhamiaji mkoa wa Dodoma Ally Haji Amil  Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma SACP David Misime.
Habari na Sylvester Onesmo, picha
na Peter Simoni wa Jeshi la Polisi Dodoma. ---------------- Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linawashikilia watu wanne raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria, watu hao walikamatwa kufuatia taarifa ya raia wema waliokuwa wakisafiri nao katika basi hilo. Kamanda wa Polisi...

 

11 years ago

Habarileo

Uhamiaji Kigoma wahofu kupatikana viongozi wasio raia

IDARA ya Uhamiaji mkoani Kigoma imeeleza wasiwasi wa nchi kuingia kwenye mtego wa kuchagua viongozi wasio raia kutokana na madai ya kuwepo viongozi wanaohifadhi wahamiaji haramu na kuwaajiri.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi Kigoma waua majambazi watano Kigoma

Polisi mkoani Kigoma, wamewaua watu watano wanaosadikiwa kuwa majambazi waliokuwa katika harakati za kufanya unyang’anyi wa kutumia silaha kwa kuteka magari ya abiria mkoani humo.

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 18.08.2015. KUFANYA KAZI YA ULINZI NA USALAMA ILIYOKASIMIWA KWA JESHI LA POLISI.

MNAMO TAREHE 14.08.2015 MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHADEMA ALIKUJA MKOA WA MBEYA AKIWA AMEANDAMANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA CUF, NCCR – Mageuzi NA NLD KWA DHUMUNI LA KUMTAMBULISHA NA KUOMBA UDHAMINI WA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA KWA NAFASI YA URAIS.


KATIKA MSAFARA WAKE KUTOKA UWANJA WA NDEGE [SONGWE] KULIONEKANA GARI MOJA (PICHANI) AINA YA LAND CRUISER – PICK UP YENYE RANGI NYEUSI NA NDANI YAKE LILIKUWA LIMEBEBA VIJANA AMBAO WALIKUWA WAMEVAA MAVAZI MEUSI, KOFIA – BERETI NYEUSI NA MIWANI...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani