JIJI LA DAR KINARA WA MAPATO, LAKUSANYA ASILIMIA 78 YA MAKISIO YA MWAKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-pAFgN7QmKZo/XqGM-opD5iI/AAAAAAALn_0/5kWQ2vjH3A8BEGc3r-KgHrVpN3ddj02QgCLcBGAsYHQ/s72-c/bb51cf43-7d05-46d9-9924-f017a3e6913f.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo akitangaza taarifa ya ukusanyaji wa mapato ya vyanzo vya ndani vya halmashauri kwa kipindi cha Julai 2019 hadi Machi 2020.
Charles James, Michuzi TV
HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam limeongoza kundi la halmashauri za Majiji kwa kukusanya mapato kwa asilimia 78 ya makisio ya mwaka huku Jiji la Dodoma likiwa la mwisho katika kundi la majiji kwa kukusanya asilimia 55 ya makisio yake ya mwaka.
Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Utafiti: Tanzania kinara wa kuzalisha mpunga A. Mashariki kwa asilimia 65
10 years ago
Habarileo22 Jan
Kilombero mapato ni asilimia 78.90
HALMASHAURI ya wilaya ya Kilombero iliyopo mkoani Morogoro, imefanikiwa kukusanya mapato ya Sh bilioni 3.9 sawa na asilimia 78.90 kutoka katika vyanzo vyake vya ndani katika mwaka wa fedha wa 2013/2014.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar27 Sep
Vyombo vya dola kinara uvunjifu wa haki za binadamu asilimia 66-LHRC
Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dk Helen Kijo-Bisimba Sunday, September 27, 2015 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema asilimia 60 ya uvunjifu wa haki za binadamu nchini unafanywa na vyombo vya dola huku asilimia […]
The post Vyombo vya dola kinara uvunjifu wa haki za binadamu asilimia 66-LHRC appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ouhEiybs04A/U7EX9F2JkcI/AAAAAAAFtkM/tbHmdl6g-_s/s72-c/unnamed+(1).jpg)
WAKAZI WA JIJI LA DAR WAOMBA VODACOM EXPO IFANYIKE MARA MBILI KWA MWAKA.
11 years ago
GPLWAKAZI WA JIJI LA DAR WAOMBA VODACOM EXPO IFANYIKE MARA MBILI KWA MWAKA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jabE9lqHZGg/XuJYfHewiqI/AAAAAAALtek/dMUigNqcmScbkrswOM4Y_nrmH6oFXltsgCLcBGAsYHQ/s72-c/12.jpg)
HALMASHARI YA MJI KONDOA YAONGEZA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA ASILIMIA 135
HATIMAYE Baraza la Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Mji Kondoa limekamilisha rasmi kikao cha kawaida cha robo ya nne baada ya kuhudumu kwa kipindi cha miaka mitano tangu lilipoingia madarakani mwezi Oktoba 2015 na kufanikiwa kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani kutoka shilingi milioni 400 kwa mwaka 2016/2017 hadi kufikia shilingi bilioni 1.6 mwaka 2019/2020 sawa na ongezeko la zaidi ya asilimia 135.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa, Msoleni Dakawa katika...
11 years ago
Habarileo04 Aug
Pinda aagiza Jiji kuongeza mapato
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa Jiji la Mbeya, kuongeza mapato yake ya ndani kwa kuweka mifumo ya kisasa ya ukusanyaji mapato.
10 years ago
CloudsFM11 Nov
SHOO YA BIRTHDAY YA MH.TEMBA, ASILIMIA 80 YA MAPATO KUCHANGIA WODI YA WATOTO HOSPITALI YA TEMEKE
Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya msanii Amani Temba a.k.a Mheshimiwa Temba kutoka kundi ya TMK Wanaume Family.
Usiku wa leo ameandaa shoo maalum ndani ya ukumbi wa Ikweta Grill, Temeke kiasi cha mapato kitaenda kuchangia wodi ya watoto katika hospitali ya Temeke, kama ilivyokuwa kwa bendi ya Yamoto Band mwishoni mwa mwezi wa tisa walipoambatana na timu nzima ya TMK Wanaume Temba kuchangia hospitalini hapo.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-fv30-s9R-HI/U-HahGhJWyI/AAAAAAAF9e0/p2UF2a_EJvg/s72-c/unnamed+(5).jpg)
Halmashauri zote nchini zatakiwa kutenga asilimia 5 ya mapato kwa ajili ya shughuli za vijana
Hayo yamesemwa jana ( leo) Mkoani Dodoma Wilaya ya Nchemba na Afisa Vijana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Amina Sanga katika mafunzo ya Vijana wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kuhusu mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.
Bi. Amina alisema kuwa vijana ndiyo...