Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jiji la Dar kuwa chini ya Ukawa

Kama wingi wa madiwani katika halmashauri ndicho kigezo cha chama kumpata meya, basi safari hii jiji la Dar es Salaam litakuwa chini ya mameya kutoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni walipoliweka jiji la Stuttgart chini yao



Na Paparazi wa Globu ya jamii Ughaibuni,
Bendi Maarufu ya Muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni usiku wa Jumamosi ya 14 Machi 2015 walifanikiwa kufanya mavitu yao jukwaani na kuliweka jiji la Stuttgart,chini ya himaya na muziki wao,katika onyesho la Africa Unite Party.
pamoja na ulinzi ulioandaliwa lakini kikosi cha Ngoma Africa band kilikuwa "Fit on Fire",sheria za ughaibuni zinawaruhusu kutinga na viwalo ..kila nchi inautaratibu na sheria zakeKamanda Ras Makunja...

 

11 years ago

Habarileo

Wakaguzi wa ndani kuwa chini ya CAG

SERIKALI imebadili mifumo ya uendeshaji ndani ya halmashauri za wilaya na kuondoa wakaguzi wa ndani wa hesabu kuwa chini ya wakurugenzi. Badala yake, watawajibika kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

9 years ago

Raia Tanzania

Kilichofanywa na Jiji kwa Ukawa ni hatari

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam juzi ilijaribu bila mafanikio kuzuia kufanyika kwa mkutano wa uzinduzi wa kampeni za vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) uliopangwa kufanyika kesho kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mitandao ya kijamii na baadaye magazeti, Jiji lilitoa sababu zisizoridhisha katika kujenga hoja ya kuwakatalia Ukawa kutumia viwanja hivyo vya umma, likisema vimelipiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa siku tisa ingawa hadi...

 

10 years ago

GPL

YOUNG KILLER AKANA DEMU WAKE KUWA CHINI YA 18

Chande Abdallah
MSANII wa muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ amekanusha madai kuwa demu wake anayejulikana kwa jina la Halimaty ana miaka chini ya 18.Akipiga stori na Ijumaa kuhusiana na ishu hiyo, Young Killer anashangaa watu kudai demu wake huyo ni ‘under age’ wakati ukweli ana miaka 20. Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ akiwa na demu...

 

10 years ago

Habarileo

RC apata hofu Dodoma kuwa Jiji

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa amesema ni ndoto kwa sasa Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji, kutokana na kuwa na kiwango kidogo cha ukusanyaji mapato licha ya kuwa na uwekezaji mkubwa wa serikali.

 

9 years ago

StarTV

Jiji la Mwanza kuwa na taswira ya kuvutia

Jiji la Mwanza kwa kushirikiana na wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi na wataalamu kutoka Singapore limeandaa mpango kabambe unaofahamika kama Mwanza 2035 utakaotoa taswira nzuri ya kulifanya jiji hili kuwa la kisasa ifikapo mwaka 2035.

Katika mpango huo umetolewa mkakati pendekezi ili kuhakikisha uwepo wa mtandao bora wa maji safi, maji taka, maji ya mvua, taka ngumu na miundo mbinu ya umeme ambapo ushirikishwaji wa wananchi katika mpango huu umezingatiwa.

Katika mkutano...

 

10 years ago

Vijimambo

TWEET YA RAIS KIKWETE BAADA YA KUSIKIA LOWASA KAJISALIMISHA KWA UKAWA JITIRIRISHE CHINI


While everyone is talking about Hon. Edward Lowassa and UKAWA right now, the is one of the more recent tweets from the President of Tanzania Hon. Dr. Jakaya Kiwete. I’m just wondering if it has anything to do with the Lowassa-UKAWA issue.

 

11 years ago

Tanzania Daima

EPZA: Bagamoyo kuwa jiji la viwanda, biashara

MAMLAKA ya Ukanda Maalumu ya Uwekezaji (EPZA) imesema mradi wa uendelezaji wa maeneo maalumu ya uwekezaji katika mji wa Bagamoyo ukikamilika utasaidia mji huo kuwa jiji kubwa la viwanda na...

 

9 years ago

Habarileo

Shein ataka Zanzibar iharakishwe kuwa jiji

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, amesema hatua mbalimbali zinazochukuliwa na serikali kuimarisha huduma katika Manispaa ya Mji wa Zanzibar iwe ni changamoto kwa mamlaka zinazoshughulikia Serikali za Mitaa kuuandaa mji huo kuwa jiji kama majiji mengine duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani