Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakaguzi wa ndani kuwa chini ya CAG

SERIKALI imebadili mifumo ya uendeshaji ndani ya halmashauri za wilaya na kuondoa wakaguzi wa ndani wa hesabu kuwa chini ya wakurugenzi. Badala yake, watawajibika kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CAG AHUDHURIA KIKAO CHA BODI YA WAKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa Mussa Juma Assad na ambaye kwa wadhifa wake ni Mkaguzi wa Hesabu za Umoja wa Mataifa akiwa na baadhi wa wasaidizi wake katika Kikao cha Bodi ya Wakaguzi wa Umoja wa Mataifa kilichofanyika jana ( Jumanne) Hapa Umoja wa Mataifa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali mwenye tai nyekundu akimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ambaye pia ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu kutoka Uingereza aliyekuwa akimkaribisha kwenye Bodi...

 

10 years ago

Vijimambo

CAG AHUDHURIA KIKAO CHA BODI YA WAKAGUZI WA UMOJA WA MATAIFA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali mwenye tai nyekundu akimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ambaye pia ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu kutoka Uingereza aliyekuwa akimkaribisha kwenye Bodi hiyo, upande wa kulia ni Ujumbe wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu kutoka India. Uingereza, India na Tanzania ndiyo inayounda Bodi ya Wakaguzi wa Hesabu za Umoja wa Mataifa na Mashirika yake. Katika mkutano huo ilielezwa kuwa Tanzania kwa maana ya CAG itachukua uenyekiti wa Bodi ifikapo ...

 

10 years ago

Habarileo

Changamoto za wakaguzi wa ndani zatajwa

BAADHI ya Wakaguzi wa Ndani wa Hesabu za Serikali wamekuwa wakishindwa kufanya kazi zao kwenye utaratibu mzuri kutokana na wengi wao kutokuwa na ujuzi wa taratibu hizo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la mwaka la wakaguzi wa hesabu za ndani jijini Arusha

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia burudani ya ngoma ya asili wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha jana Septemba 24, 2014 kwa ajili ya kufungua Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani. (Picha na OMR).

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MWAKA LA WAKAGUZI WA HESABU ZA NDANI JIJINI ARUSHA LEO

 Baadhi ya washiriki waliohudhuria Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia katika ukumbi wa AICC jijini Arusha leo Septemba 24, 2014. Picha na OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC jijini Arusha. Kongamano hilo limefunguliwa...

 

10 years ago

Mwananchi

JK amteua Profesa Asaad kuwa CAG

Rais Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuanzia Novemba 5, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete amteua Profesa Assad kuwa CAG Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

9 years ago

Mwananchi

Jiji la Dar kuwa chini ya Ukawa

Kama wingi wa madiwani katika halmashauri ndicho kigezo cha chama kumpata meya, basi safari hii jiji la Dar es Salaam litakuwa chini ya mameya kutoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

10 years ago

GPL

YOUNG KILLER AKANA DEMU WAKE KUWA CHINI YA 18

Chande Abdallah
MSANII wa muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ amekanusha madai kuwa demu wake anayejulikana kwa jina la Halimaty ana miaka chini ya 18.Akipiga stori na Ijumaa kuhusiana na ishu hiyo, Young Killer anashangaa watu kudai demu wake huyo ni ‘under age’ wakati ukweli ana miaka 20. Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ akiwa na demu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani