JIKO LA GESI LATEKETEZA NYUMBA MISUNGWI
Mwananchi juu ya paa la nyumba ya mtu mmoja maarufu kwa jina la Mama Mayunga, akijaribu kurusha vifuko vya mchanga katika moja ya majengo ya nyumba iliyozuka moto Jana majira ya saa 5 asubuhi mtaa wa Majengo jirani na Masangwa Guest House wilayani Misungwi mkoani Mwanza.
Moto huo unaotajwa chanzo chake kusababishwa na jiko la gesi ulilipuka na kuiteketeza kabisa nyumba hiyo ikiwa na furniture zake.
Huku baadhi yao wakiwa wamejitosa kufanya uokoji wa mali, wananchi wengine kama...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
JIKO LA GESI LATEKETEZA NYUMBA MISUNGWI MWANZA
5 years ago
Michuzi
DKT KALEMANI AFANYA ZIARA YA NYUMBA KWA NYUMBA KUKAGUA KAZI YA USAMBAZAJI UMEME VIJIJINI WILAYANI MISUNGWI Inbox x



10 years ago
Michuzi.jpg)
JIKO LA GESI LAUNGUZA MWALIMU VIBAYA KIGOMA
.jpg)
Picha na habari na Editha Karlo
wa Globy ya Jamii, KigomaMwalimu wa shule ya sekondari ya mazungwe Revania Ndebigeze(39)Wilaya ya Uvinza Mkoani hapa amelazwa katika hospital ya Mkoa wa Kigoma(Maweni)baada ya kuungua vibaya na moto wa gesi.
Akiongea na mwandishi wa habari hii kwa taabu katika chumba cha upasuaji...
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Kampuni ya Vunja Bei yamkabidhi Mkuu wa Mkoa Arusha zawadi ya Dinner Set na jiko la Gesi
Mkurugenzi wa kampuni ya vunja bei inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya nyumbani Bw.Shija Ulaya Kamanija akimkabidhi zawadi ya dinner set Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh.Felix Ntibenda jana kwa kumpongeza kuchaguliwa kuwa mkuu wa mkoa huo ambapo pia aliwapatia watumishi zawadi ya chupa ya chai na vikombe vya chai kwa kuwapongeza kwa kufanya kazi kwa bidii shughuli hiyo ilifanyika katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa Mkoa huku promosheni hiyo ikiwavutia wakazi wa jiji la Arusha.
Mkuu...
11 years ago
Habarileo15 Oct
Lori la mafuta laua 3, lateketeza baa, gesti
MATARAJIO ya neema ya kujipatia mafuta ya 'dezo’ kutoka katika lori lililoanguka eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam, juzi usiku yaligeuka majuto na kuibua vilio na simanzi, baada ya kulipuka na kusababisha maafa, ikiwa ni pamoja na vifo vya watu watatu, huku wengine saba wakijeruhiwa vibaya.
10 years ago
StarTV21 Aug
Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa
Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.
Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.
Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...
11 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Mtoto aangukiwa na ukuta wa jiko
MTOTO Grace Zefania (9), amefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta wa jengo la jiko la Kanisa la Calvary Oysterbay Kinondoni, Dar es Salaam. Tukio hilo lilitokea juzi saa 1:30...
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Andy Murry apata jiko