JIKUNE NA HII LEO NA UJIKUMBUSHE PANDE ZILE KINYAUNYAU-THE KILIMANJARO
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo23 Apr
KAMA WEWE NI WAPANDE ZILE HII UTAIKUMBUKA KITU UGALI WA UNGA WA MUHOGO KWA KUKU WA KIENYEJI FULL OGANIKI.
Yani hapa ni mwendo wa kuzunguka mkono kwa mkono tonge kwa tonge kwetu raha juu ya mkeka uku goti umelikunja.
10 years ago
CloudsFM30 Dec
Shoo ya miaka 15 ya Dully Sykes kwenye Bongo Fleva ni leo pande za Escape One
Leo ndo leo ndani ya Escape One mkongwe kwenye Bongo Fleva,Prince Dully Sykes anafanya tamasha kuadhimisha miaka 15 ndani ya tasnia ya Bongo Fleva,kwa kiingilio cha shs elfu 10,000 wasanii mbalimbali watakuwepo.
9 years ago
Vijimambo31 Aug
MAGUFULI AENDELEA KUUNGWA MKONO KWA KASI NA WATANZANIA,HII NI SONGEA MJINI HII LEO
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh.J.P.Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Songea Mjini hii leo wakati wa mkutano wa kampeni Uliofanyika Uwanja wa Majimaji -Songea Mjini.Mbali na kuomba kura kwaajili ya Mbunge huto wa CCM,Mh;magufuli pia amewasisitiza Wananchi wa Songea na Mkoa wa Ruvuma kuwa anataka kuunda serikali ya "KAZI TU" ,Hivyo anaomba kura za kutosha kwa Madiwani,Wabunge na za Urais za kutosha ili aweze kuwa na serikali Imara ya Chama cha Mapinduzi itakayofanya kazi kwa niaba...
10 years ago
Dewji Blog06 May
Wimbo mpya wa wasanii wazawa wa Kilimanjaro wakielezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro — “Kilimanjaro”
Wimbo unaelezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro, na uzuri wa Mkoa wa kilimanjaro.
9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI BOA BENKI KUPEPERUSHA BENDERA YAO NA CCBRT MLIMA KILIMANJARO KUANZIA JUMAPILI HII
Naibu Mkuruenzi wa BOA benki, Wasia Mushi akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na wanao kwenda kupeperusha bendera ya benki hiyo pamoja na bendera ya CCBRT katika kilele cha mlima wa Kilimanjaro ikiwa ni kukamilisha mchango wao kama benki kwaajili ya watoto waliozaliwa ikiwa miguu yao imepoza ili wapatiwe matibabu katika Hospitali ya CCBRT, ikiwa ni mchango wao kama benki kusaidia jamii inayosumbuliwa na ugonjwa wa kupinda miguu unaojulikana kwa jina la (KIBWIKO) benki ya BOA...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania