Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jimbo la California kukabiliana na ukame

Serikali ya jimbo la California nchini Marekani imetoa amri ya kudhibiti matumizi ya maji ili kukabiliana na ukame.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Coronavirus: Jimbo la California lawaamuru watu kubaki nyumbani kudhibiti maaambukizi

Jimbo la California limewaamuru wakazi wake "kukaa nyumbani" huku likijaribu kudhibiti maambukizi ya coronavirus katika jimbo hilo maarufu zaidi nchini Marekani.

Govana Gavin Newsom aliwaambia wakazi wa California kuwa watatakiwa kuondoka majumbani mwao tu wakati ni muhimu wakati wa mlipuko wa virusi vya corona.

Awali alikadiria kuwa zaidi ya watu milioni 40 katika jimbo lake wanaweza kupata maambukizi ya virusi vya Covid-19 katika miezi miwili ijayo.

Virusi vya corona tayari vimewaua watu 205...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Jimbo la California lawaamuru watu kubakii nyumbani kudhibiti maaambukizi

Serikali inakadiria kuwa karibuni virusi vya corona vitawaathiri zaidi ya nusu ya watu milioni 40 wa jimbo lake

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania kukumbwa na ukame

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za masika hazitarajiwi kuwa za kuridhisha katika maeneo mengi ya nchi.

 

10 years ago

Habarileo

TMA: Ni mwaka wa ukame

Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Agnes KijaziHALI ya ukame inatarajiwa kukabili nchi kutokana na upungufu wa mvua utakaoathiri pia upatikanaji wa nishati ya umeme.

 

10 years ago

Mwananchi

Nchi kukumbwa na ukame

>Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya mwelekeo wa mvua za masika katika kipindi cha Machi mpaka Mei na kusema kuwa hali ya mvua haitarajiwi kuwa ya kuridhisha katika maeneo mengi ya nchi.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAKABILIWA NA UKAME

Mgeni Rasmi katika Semina ya Kukuza Uelewa wa Usimamizi wa Mazingira kwa Watendaji wa Halmashari ya Jiji la Tanga, Bwana Salim Chima ambaye pia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga akifungua Semina hiyo ya siku moja iliyofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga. Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Julius Ningu akizungumza jambo katika Semina ya Kukuza Uelewa katika Masuala ya Mazingira kwa Watendaji wa Halmashari ya Jiji la Tanga iliyofanyika jijini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukame wa magoli wamuandama Suarez

Suarez aeleza kutofurahishwa na kitendo cha kutozifumania Nyavu na kung'ara kwa mambo msimu huu. Anasema ukame umekithiri

 

9 years ago

BBCSwahili

Ukame mkali wanyemelea Ethiopia

Umoja wa mataifa umesema juhudi kubwa za msaada kimataifa zinahitajika nchini Ethiopia kuzuia janga la kibinadamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani