Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jinsi Lowassa alivyokatwa

MVURUGANO mkubwa ulizuka katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya wajum

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Pinda avunja ukimya alivyokatwa Dodoma

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema hawezi kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwataka waliohama baada ya kubwagwa kwenye kinyang’anyiro cha kugombea urais, kujiuliza iwapo wataihama nchi wakishindwa kufanikisha malengo yao huko walikohamia.

 

11 years ago

GPL

BABU ALIVYOKATWA NYETI,KISA MAPENZI

Maskini! Mzee aliyefahamika kwa majina ya London Haonga (61) mkazi wa Kijiji cha Mapogolo, Kata ya Mbebe wilayani Ileje mkoani hapa hana tena nyeti zake kufuatia tukio la kukatwa sehemu hizo lililokuwa kama sinema, Amani lina ripoti kamili. Kwa mujibu wa shuhuda wetu kijijini hapo, tukio hilo la kusikitisha lilitokea mishale ya saa mbili usiku wa Aprili 19, mwaka huu mzee huyo alifanyiwa unyama huo na watu watatu wasiofahamika...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Siwezi kusahau mwanagu alivyokatwa uume’

>Ni furaha ya kila mzazi kupata mtoto mwenye siha  njema na mtimilifu wa viungo. Lakini ilikuwa bahati mbaya kwa Mario Sanga, ambaye licha ya kubarikiwa kupata mtoto wa kiume mwenye afya  bora, aliyekamilika, kufumba na kufumbua mtoto huyo amepata ulemavu ambao ni adhabu  pia upungufu mkubwa kwa mwanaume yeyote duniani.

 

10 years ago

Vijimambo

Ukweli wa Sakata Zima la Richmond Na Jinsi Lowassa Alivyohusishwa na Sakata Hilo


Kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa amefunguka na kueleza ukweli halisi wa sakata zima la Richmond lililomfanya achukue uamuzi wa kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mwaka 2008.Katika maojiano maalumu na Mpekuzi,Lowassa amewaka wazi kuwa anapata shida kujua kama tupo makini kusimamia ipasavyo mambo yanayohusu maisha yetu,kwani masihara ya kisiasa yaliyoratibiwa na baadhi ya wabunge ndiyo yaliyosababisha serikali ...

 

9 years ago

Raia Mwema

Jinsi wapiga kura wa vijijjini ‘walivyomwibia’ Lowassa kura

Hatimaye uchaguzi umemalizika!

Kitila Mkumbo

 

10 years ago

Michuzi

JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI KINAVYO ONDOLEWA KWA TIBA ASILIA

Kitambi ni ile hali ya tumbo kuwa kubwa na kuchomoza kwa mbele na wakati mwingine kufikia hatua ya kuniníginia.
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati ya bilioni 50 hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika sehemu mbalimbali za mwili wa binadamu.Kwa wanawake seli hizo zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye nyonga, kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande wa wanaume seli hizo zinapatikana sana kwenye kifua, tumboni na kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

FAHAMU JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI DAWA ASILIA YA MKATAA KITAMBI INAVYO ONDOA KITAMBI

Kitambi  ni  ile  hali  ya  tumbo  kuwa kubwa  na  kuchomoza  kwa  mbele  na  wakati mwingine  kufikia  hatua  ya  kunin’ginia. JINSI  KITAMBI  KINAVYO  PATIKANAKwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati  ya bilioni 50  hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika  sehemu  mbalimbali  za  mwili wa binadamu. Kwa wanawake  seli hizo  zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye  nyonga, kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande  wa  wanaume seli  hizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani