Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jinsi ‘magaidi’ kumi walivyonaswa Moro

Na Waandishi Wetu

SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi kukamata watu tisa waliokuwa na milipuko, sare za jeshi na silaha za jadi msikitini mkoani Morogoro, imebainika kuwa walikamatwa saa tatu kabla ya kutoka kwenye eneo hilo na kwenda kutekeleza azma yao.
Ingawa haijajulikana kuwa watu hao walikuwa waende wapi, habari hizo zimebainisha kwamba walipanga kuondoka saa 11 alfajiri, lakini polisi wakawakamata saa nane usiku.
Mwandishi wa gazeti hili alivyofika kwenye Kijiji cha Chikago, Kata ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Msikiti Moro wawakana ‘magaidi

Wakati msikiti wa Sunni uliopo Kidatu wilayani Kilombero ukimkana Hamadi Makwendo aliiyeuawa katika tukio la kuwakamata watu 10 wanaotuhumiwa kuhusika na vitendo vya ugaidi, dereva wa bajaji iliyowabeba baadhi ya watuhumiwa hao, amemuelezea mtu huyo kuwa alikuwa hana shughuli za kikazi zaidi ya kucheza karate.

 

10 years ago

Mwananchi

Jinsi polisi walivyofyeka maficho ya ‘magaidi’ Mkuranga

Jeshi la Polisi lina uwezo mkubwa wa kubaini maficho ya majambazi na hata magaidi isipokuwa hufuatilia kwa uangalifu mkubwa kutokana na hatari inayowakabili. Na pale linapokamilisha mitego yake huvamia eneo husika kwa nguvu kama lilivyofanya, hivi karibuni, katika kijiji cha Mnandikongo kilichoko Kata ya Bupu wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani.

 

11 years ago

Dewji Blog

Ratiba Bunge la Kumi, Mkutano wa Kumi na Tano

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifunga Bunge  leo twasira ya muono wa Mandhari ilivyokuwa.

Ratiba Ya Mkutano Wa 15 Wa Bunge New by moblog

 

9 years ago

Bongo5

Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo

Belle99

Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.

Belle99

What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya

— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015

Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani