Msikiti Moro wawakana ‘magaidi
Wakati msikiti wa Sunni uliopo Kidatu wilayani Kilombero ukimkana Hamadi Makwendo aliiyeuawa katika tukio la kuwakamata watu 10 wanaotuhumiwa kuhusika na vitendo vya ugaidi, dereva wa bajaji iliyowabeba baadhi ya watuhumiwa hao, amemuelezea mtu huyo kuwa alikuwa hana shughuli za kikazi zaidi ya kucheza karate.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania17 Apr
Jinsi ‘magaidi’ kumi walivyonaswa Moro
Na Waandishi Wetu
SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi kukamata watu tisa waliokuwa na milipuko, sare za jeshi na silaha za jadi msikitini mkoani Morogoro, imebainika kuwa walikamatwa saa tatu kabla ya kutoka kwenye eneo hilo na kwenda kutekeleza azma yao.
Ingawa haijajulikana kuwa watu hao walikuwa waende wapi, habari hizo zimebainisha kwamba walipanga kuondoka saa 11 alfajiri, lakini polisi wakawakamata saa nane usiku.
Mwandishi wa gazeti hili alivyofika kwenye Kijiji cha Chikago, Kata ya...
9 years ago
Bongo504 Dec
Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo
![Belle99](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Belle99-300x194.jpg)
Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.
What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya
— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015
Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...
10 years ago
BBCSwahili29 Nov
Facebook yadaiwa kuwaficha magaidi
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Apr
Mazito yaibuka‘magaidi’ Kidatu
Imamu awakana Makwendo na wenzake
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
DEREVA wa bajaji, Alphonce Maurus, aliyebeba watu wanaodhaniwa kuwa watuhumiwa wa ugaidi, Kidatu wilayani Kilombero, ameweka hadharani namna alivyomfahamu mmoja wao.
Amesema mtuhumiwa ambaye aliuawa na wananchi baada ya kumjeruhi polisi, Hamad Makwendo, alijihusisha na mchezo wa kareti na masuala ya dini ya Kiislamu.
Dereva huyo huyo aliwaeleza waandishi wa habari waliofuatilia taarifa za kina za tukio hilo jana kwamba Makwendo...
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
Iran yakana uhusiano na magaidi
10 years ago
BBCSwahili28 Jan
Magaidi washambulia hoteli,Libya
11 years ago
BBCSwahili04 Feb
Polisi wapambana na magaidi Tunisia
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Magaidi wajifaidisha na uwindaji haramu
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Magaidi kuchukuliwa hatua Ufaransa