Jinsi ya kuanzisha biashara ya vipodozi
Moja ya biashara zinazovutia watu wengi ni biashara ya vipodozi. Hata hivyo wafanyabiashara wa vipodozi wamekuwa wakikabiliana na changamoto mbalimbali. Baadhi ya changamoto hizi ni baadhi ya wafanyabiashara kutofahamu taratibu za kufanya biashara hii.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Jun
Jinsi ya kuanzisha biashara bila mtaji
Wengi huamini kuwa lazima uwe na fedha ndiyo uanzishe biashara na ndiyo sababu yao kuu ya kukaa bila kujishughulisha. Ukweli ni kwamba mtaji ni moja ya kitu muhimu katika kuanzisha biashara, lakini kuna aina ya biashara ambazo zinahitaji gharama ndogo kuanzisha na kukupelekea kupata faida kubwa.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-F9hpq0MjsrQ/VQpUd2WBhnI/AAAAAAAHLYA/hFkYVbsZLaM/s72-c/unnamed%2B(55).jpg)
TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?
Tanzania Zalendo wanakuleta Mhadhara wa Jinsi ya KUANZISHA, KUENDESHA na KUDUMU katika biashara. UKUMBI ni Alliance Francaise shuka kituo cha RED CROSS kuelekea Posta. Siku ya JUMAMOSI tarehe 21/03/2015. Muda Ni saa Nane 8 mchana Mpaka saa Kumi Jioni. Utajifunza jinsi ya kuanzisha ,kuendesha na kusimamia biashara kutoka kwa mtaalam wa masuala ya biashara Mhadhiri wa kikuu cha Dar es salaam Dr Muhsin Masoud wa shule ya Biashara. Mafunzo haya ni BURE Kwa mawasiliano zaidi piga 0787 66 99...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Kilimanjaro kuanzisha mji wa viwanda, biashara
MKOA wa Kilimanjaro unatarajia kujenga mji wa viwanda na biashara katika eneo la Lokolova ili kuchochea uongezaji wa thamani mazao na kukidhi mahitaji ya soko la ndani na nchi jirani....
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Hatua za kuchukua kabla ya kuanzisha biashara mpya
Watu wengi wana shauku ya kuanzisha biashara mpya. Inawezekana una wazo kubwa na hata ukimwambia mtu mwingine atakuonyesha dole, ishara kwamba ni wazo zuri na linauza.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39fDbPwrY2UuouF-4am*vtP2VQ6wfyVYW6tJGIIPIobItWCUZ-5btwe1NgCqK3IIYbLRgQXruwpoXS2YwrNxg6vL/PicMonkeyCollage.jpg?width=650)
NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-7
Tunaendelea na mada yetu ya kujadili njia za uhakika za kupata mtaji wa kuanzisha biashara. Tumeshajadili mbinu tatu: Kuweka akiba, kutafuta kipato cha ziada na kuuza rasilimali zako ili upate kianzio. Leo tunaendelea na njia ya nne. OMBA MSAADA KWA NDUGU, JAMAA AU MARAFIKI
Wakati mwingine, njia pekee ya kuweza kutoka maishani ni kwa kupitia mtandao wa watu wanaokuzunguka. Ndiyo maana kuna usemi maarufu katika lugha ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d7P28OdIsnU8VPAY3Ou2ln0yDMGJY-5xKclgGQhltQN4IJDeRgI9uQwtCl27-4MCu01vlrKunK64F7wkwj7cvJ9/seedmoney.jpg?width=650)
NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-10
Wiki iliyopita niliishia kuelezea jinsi nilivyokuwa na uwezo wa kuwasiliana vizuri na mtu mmojammoja au kikundi cha watu kwenye mikutano kwa lugha zote mbili, Kiswahili na Kiingereza bila hofu wala kubabaika. Sasa endelea....... Watu wakaanza kuniuliza niliwezaje kufanya hivyo, hiyo ikanipa msukumo kuanzisha biashara yangu ya kwanza kabisa ya kituo cha kuwafundisha watu wazima Lugha ya Kiingereza (English courses).
Kwa kuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6ZbmUuRiogWlql36YJS9hbkXVNuMd4JopfI5pEoTvwOSCEfQy2RACiQzwZml7kRWk0mpGPaIsBosdNxxVmQbqM4/money.jpg)
NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-5
UZA RASILIMALI ZAKO UPATE KIANZIO
Kuna watu wengi sana wanasema kuwa hawana mtaji leo hii wakati wamekalia utajiri majumbani mwao.
Hii inatokea kwa kuwa mjasiriamali husika hajaambiwa au yeye mwenyewe hajakaa chini na kufikiri kwa makini. Ukweli ni kwamba kazi ya kufikiria ndiyo kazi ngumu kuliko zote duniani! Mwandishi wa Hadithi ya ‘Acres of Diamond’ (Ekari za Almasi), Russell H. Conwell, ambaye alizunguka...
10 years ago
GPLWALIMU KUANZISHA BENKI YA BIASHARA MWAKA HUU
Katibu Mkuu wa Chama Cha Walimu Yahya Mgulwa (kushoto) akizungumza katika kikao hicho. Wanahabari wakichukua matukio katika kikao hicho. Rais wa Chama Cha Walimu Tanzania, Gratian Mukoba (katikati) akitoa tamko la mchakato wa ufunguzi wa benki hiyo. Pembeni ni viongozi wa CWT.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania