JIZAWADIE SMARTPHONE TOKA AIRTEL LEO
Jizawadie na uwazawadie uwapendao smartphone msimu huu wa sikukuu!!! Pata smartphone yenye vifurushi BOMBA kwa bei POA kwenye duka lolote la Airtel
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL20 Dec
JIZAWADIE SMARTPHONE KUROKA AIRTEL
Jizawadie na uwazawadie uwapendao smartphone msimu huu wa sikukuu!!! Pata smartphone yenye vifurushi BOMBA kwa bei POA kwenye duka lolote la Airtel.
10 years ago
MichuziAIRTEL NA HUAWEI YAANZISHA BAZAAR LA SIMU ZA SMARTPHONE.
Na Mwandishi wetu.
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania ikishiriakiana na Huawei leo imetangaza kuanza Bazaar lake maalum litakalowawezeha watanzaniakujipatia simu za kisasa za Smart phone na kuweza kufurahia huduma zazote za intaneti kupitia mtandao wa Airtel
Bazaar la Airtel na Huawei limepangwa kufanyika kuanzia ijumaa,jumamosi na jumapili hii kuanzia saa 3asubuhu hadi saa moja usikukatika eneo la ndani la Mlimani City na litakuwa na muendelezohapohapo na baadae litazunguka...
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania ikishiriakiana na Huawei leo imetangaza kuanza Bazaar lake maalum litakalowawezeha watanzaniakujipatia simu za kisasa za Smart phone na kuweza kufurahia huduma zazote za intaneti kupitia mtandao wa Airtel
Bazaar la Airtel na Huawei limepangwa kufanyika kuanzia ijumaa,jumamosi na jumapili hii kuanzia saa 3asubuhu hadi saa moja usikukatika eneo la ndani la Mlimani City na litakuwa na muendelezohapohapo na baadae litazunguka...
10 years ago
MichuziAIRTEL SMARTPHONE BAZAAR NDANI YA NANENANE MOROGORO
Baadhi ya wateja wakiwa ndani ya Airtel smartphone Bazaar ilikusmartiphonica na simu za kisasa kwa bei poa.
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetangaza offa kabambe yasimu za kisasa itakayopatikana katika viwanja vya nane nane kuanziasiku ya Ijumaa tarehe 31 julai 2015, kwa muda wa siku 10Akiongea kuhusu ofa hiyo Meneja Masoko wa Airtel Bi Aneth Mugaamesema, Airtel inaendelea kuwapati wateja wake mawasiliano bora nakuwaunganisha na simu za kisasa zilizounganishwa na vifurushi vya...
10 years ago
MichuziAIRTEL SMARTPHONE BAZAAR ILIVYOBAMBA MLIMANI CITY JIJINI DAR
Afisa uhusiano na matukio wa Airtel Dangio Kaniki, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Gulio la Airtel na Huawei Smartphone lililofanyika Mlimani City wikiendi hii. Gulio linalomuwezesha mteja kujishindia zawadi mbali mbali pale anaponunua simu ya Huawei.Gulio hili lilianza Ijumaa, Jumamosi na Jumapili na litakaloendelea wiki ijayo siku ya Ijumaa, Jumamosi na Jumapili pale Kibo Complex Tegeta.Baadhi ya Wateja waliofika katika Gulio la Airtel na Huawei Smartphone wakipewa maelezo...
10 years ago
MichuziAirtel yaingiza smartphone mpya sokoni ikiwa na ofa kabambe
Meneja Masoko wa Airtel Bi Prisca Tembo na Meneja Biashara wa Techno bw, Marco Wang wakionyesha simu mpya ya TechoH5 iliyoingizwa sokoni ikiwa na ofa kabambe itakawawezesha wateja wa Airtel kupata simu ya kisasa pamoja na vifurushi vya internet ya kudumu kwa muda wa mienzi mitatu kuanzia leo. Afisa Mauzo wa airtel Nizar Aladawy na Afisa Mauzo wa Techno bi, Lolinda Joshman wakionyesha simu mpya ya TechoH5 iliyoingizwa sokoni ikiwa na ofa kabambe itakawawezesha wateja wa Airtel kupata simu ya...
10 years ago
MichuziAIRTEL INAKUKARIBISHA KWENYE SMARTPHONE BAZAAR WIKIENDI HII PALE KIBO COMPLEX TEGETA
Gulio la Airtel Smartphone lililofanyika wiki iliyopita pale Mlimani City wikiendi iliyopita .Baadhi ya Wateja waliofika katika Mlimani City kujipatia Ofa kabambe inayotolewa na Kampuni ya simu ya Airtel na Huawei katika banda la Mlimani City jijini Dar Es Salaam wiki iliyopita. Gulio linalomuwezesha mteja kujishindia zawadi mbali mbali pale anaponunua simu ya Huawei. Airtel Bazaar Gulio lililoanza wiki iliyopita pale Mlimani City siku ya Ijumaa, Jumamosi na Jumapili litaendelea tena wiki...
11 years ago
MichuziShule ya Motamburu Moshi yapata msaada wa vitabu toka Airtel
Mkuu wa wilaya ya Rombo kulia akimkabidhi mwanafunzi Happnes John wa shule ya sekondari motamburu moja ya vitabu vya sayansi vilivyo tolewa na Airtell katika mpango wa shule yetu kwa shule ya sekondari Motamburu iliyopo Rombo mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa wilaya ya Rombo kulia akimkabidhi mwalimu mkuu(Abel Masuki kushoto) wa shule ya sekondari motamburu baadhi ya vitabu vya sayansi vilivyo tolewa na Airtell katika mpango wa shule yetu shuleni hapo
====== ====== =======
Shule ya Motamburu...
9 years ago
MichuziMSHINDI WA AIRTEL TRACE APATA UJUZI MPYA TOKA KWA AKON
Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Malya akiongeana mshindi wa Airtel Trace Music Stars Nalimi Mayunga wakatialipotembelea ofisi za Airtel mara baada ya kuwasili kutoka nchiniMarekani alipoenda kurekodi video yake na kupata mafunzo kutoka kwamwanamuzi nguli Akon. Safari hii ni moja kati ya zawadi ya kufanyavideo na Akon pamoja na mafunzo alizipata mara baada ya kuibukamshindi wa shindano hilo Afrika . Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania