JK aagiza madereva wabanwe
RAIS Jakaya Kikwete ametaka vyombo vya ulinzi na usalama kutolegeza kamba katika kuchukua hatua dhidi ya madereva wasio makini na wazembe.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Sep
Kikwete aagiza madereva wachunguzwe
RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kusisitiza zifanyike jitihada zaidi kusimamia kikamilifu Sheria ya Usalama Barabarani na kufuatiliwa kwa karibu kwa mienendo ya wanaoendesha vyombo vya moto.
10 years ago
Mwananchi15 Jan
‘Wachafuzi mitandaoni wabanwe’
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
‘Wabunge wabinafsi wabanwe’
WANANCHI wamelitaka Bunge kuunda sheria zitakazowafanya wabunge kuwajibika ipasavyo katika shughuli za Bunge na umma kwa ujumla kwa kuweka pembeni maslahi binafsi. Wakizungumza na Tanzania Daima jana kuhusu tuhuma za...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
‘Wanaokiuka haki za binadamu wabanwe’
SERIKALI imetakiwa kutoona haya kuwachukulia hatua watu wanaobainika kukiuka haki za binadamu kwa wananchi kwa kujichukulia sheria mkononi. Askofu mstaafu wa Kanisa la Evanjilist Assemblies of God of Tanzania (EAGT),...
9 years ago
Habarileo19 Aug
DC ataka maofisa wezi wabanwe
MKUU wa Wilaya ya Sumbawanga, Mathew Sedoyeka amesema ubadhirifu, wizi na ufujaji wa fedha za umma unaofanywa na baadhi ya maofisa wa Serikali wasio waaminifu ni kosa la jinai na kutaka wachukuliwe hatua kali za kisheria.
10 years ago
Habarileo27 May
‘Wanaojihusisha kimapenzi na wanafunzi wao wabanwe’
BAADHI ya wajumbe wa Baraza la Watoto wametaka ziwekwe sheria kali kuwawajibisha walimu ambao wanajihusisha kimapenzi na wanafunzi wao.
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Makamba: Waliochota Escrow wabanwe zaidi
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Msigwa ataka wabunge, mawaziri wabanwe
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA) ameitaka Serikali kupeleka muswada bungeni kwa ajili kutungwa sheria ya kuwabana wabunge na mawaziri ambao hawasomeshi watoto wao wala kutibiwa ndani ya...
10 years ago
Mwananchi09 Apr
Tanroads, Polisi nao wabanwe katika matukio ya ajali