Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wanaojihusisha kimapenzi na wanafunzi wao wabanwe’

BAADHI ya wajumbe wa Baraza la Watoto wametaka ziwekwe sheria kali kuwawajibisha walimu ambao wanajihusisha kimapenzi na wanafunzi wao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford Na Nay wa Mitego Wakiri Uhusiano Wao wa Kimapenzi

Msanii wa filamu nchini, Shamsa Ford amekiri kuwahi kutoka kimapenzi na Nay wa Mitego na baadaye wakaachana.

Shamsha na Nay wa Mitego walikuwa wakizungumza kwa pamoja ndani ya Global TV hivi karibuni. “Ukweli ni kwamba finally nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Emanuel (Nay) lakini tumeachana,” alisema Shamsa.

Kwa upande wake Nay alisema uhusiano ulikuja baada ya kuwa marafiki.

“Tulikuwa washkaji, mahusiano yetu yalianza hivyo,” alisema rapper huyo.

“Tulienda Masaki baada ya kukaa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi wanaojihusisha katika biashara ya ngono kugharamia maisha yao katika vyuo vikuu

Idadi inayoongezeka ya wanafunzi huuza picha za utupu na mengineyo katika mitandao ili kugharamia maisha yao katika vyuo vikuu, utafiti umebaini.

 

10 years ago

GPL

VISHAWISHI VYA KIMAPENZI KWA WANAFUNZI NA JINSI YA KUVISHINDA-2

Na. Richard Manyota
Simu: +255 714 895555 Naendelea kuelezea jinsi wanafunzi wanavyoweza kushinda vishawishi vya kuingia kwenye mapenzi.
Ni wajibu wa mwanafunzi kugomea zawadi inayokuja kwa mlango wa nyuma, kwa vile watafiti wanasema watu tisa kati ya kumi wanaosaidia husaidia ili wajisaidie ni mmoja tu anayesaidia kwa maana ya kusaidia. (3) - MAZINGIRA MAGUMU –Mazingira magumu yametajwa sana na baadhi ya wanafuzi kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanafunzi wamkata panga mwalimu wao

>Wanafunzi wawili wa Shule ya Sekondari ya Kibara, wilayani Bunda  wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Bunda wakikabiliwa na shtaka la kumshambulia na kumjeruhi kwa panga mwalimu mkuu wa shule hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi 826 na walimu wao wakimbia vita Kiteto

Siku kadhaa zimepita tangu kutokea kwa mapigano mapya kati ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara.

 

10 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI ALBINO WALIOPO BWENINI WAHOFIA USALAMA WAO

Wanafunzi wa bweni ambao ni walemavu wa ngozi na wasioona wanaohifadhiwa na serikali katika shule ya msingi pongwe jijini tanga wameiomba Serikali kwa kushirikiana na wasamaria wema kuwajengea uzio shuleni hapo kufuatia kutembea umbali wa mita 100 wakati wanapokwenda kujisaida nyakati za usiku hatua ambayo inahatarisha usalama wao.Wakizungumza shuleni hapo wakati wasamaria wema walipokwenda kuwasaidia wanafunzi walemavu wa ngozi na vipofu vifaa mbali mbali ikiwemo vya kusaidia walemavu wenye...

 

10 years ago

Michuzi

Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma mjii wa Nanchang nchini China waanzisha umoja wao

Viongozi wa NATATA, toka kushoto ni Katibu Mkuu Halima Guga,Mwenyekiti Given Massawe na mratibu wa Elimu Abdulkarim Baksh.  Mwenyekiti wa NATASA ,Given Massawe akipozi kwa picha na wadau wa NATASA, toka kushoto  ni Henry Mzava,Evance,Letitia Smith ambae yeye anatoka Namibia, Henry,Hamza Riyani, Charles na Mercy.  M/kiti wa NATASA Given Massawe akikata keki ya ya kuzindua umoja huo pamoja kuazimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tz huku katibu wake Halima Guga akishuhudia. Wakina dada wa ...

 

9 years ago

Vijimambo

VIJANA HAWA WALIMU WANATAFUTWA NA WANAFUNZI WAO BAADA YA KUINGIA MITINI NA PESA ZA FIELD

Matapeli waliotambulika kwa majina ya Innocent Joseph na Kakamba, Iden na Wenzao wawili, wanaotokea Kampuni ya Utafiti ya Research Solution Africa, wamekuwa wakifanya kazi ya kupokea Tenda za Research na watu wamekuwa wakilipwa kwa siku, usiku na mchana ikitegemea na mteja anayefadhili zoezi hilo la utafii.
Mfano miongon mwa benki zinazodhamini ni World Bank ambapo huwa wanawalipa watu kiasi cha Sh. 25,000/= kwa Mkoa wa Dar es Salaam, na iwapo watasafiri mikoani vijini watalipwa kiasi cha Sh....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani