Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAFUNZI ALBINO WALIOPO BWENINI WAHOFIA USALAMA WAO

Wanafunzi wa bweni ambao ni walemavu wa ngozi na wasioona wanaohifadhiwa na serikali katika shule ya msingi pongwe jijini tanga wameiomba Serikali kwa kushirikiana na wasamaria wema kuwajengea uzio shuleni hapo kufuatia kutembea umbali wa mita 100 wakati wanapokwenda kujisaida nyakati za usiku hatua ambayo inahatarisha usalama wao.Wakizungumza shuleni hapo wakati wasamaria wema walipokwenda kuwasaidia wanafunzi walemavu wa ngozi na vipofu vifaa mbali mbali ikiwemo vya kusaidia walemavu wenye...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ALBINO WATAKIWA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA JESHI LA POLISI ILI KUIMARISHA USALAMA WAO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewashauri albino wanaoishi Jijini Dar es Salaam kuwa karibu sana na Jeshi hilo ili kurahisisha mawasiliano kati yao na Wakuu wa vituo vya Polisi vilivyo karibu na makazi yao au wanapofanyia usalama wao jijini Dar es Salaam.
Pamoja na kwamba haijawahi kutoa tukio lolote dhidi ya Albino jijini Dar es Salaam kutokana na uhusiano uliopo lakini kwa sasa waongeze mawasiliano na Jeshi la Polisi kutokana na taarifa za uhalifu dhidi ya Albino...

 

9 years ago

Habarileo

ACT Wazalendo wahofia usalama wa Slaa

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimefuta mikutano yote ambayo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa alikuwa aifanye kuanzia kesho kupitia jukwaa la chama hicho.

 

9 years ago

StarTV

 NCCR — Mageuzi wahofia viongozi wao kudhuriwa

Chama cha NCCR-Mageuzi kimedai kugundua mbinu chafu zinazopangwa na kikundi kinachotajwa kutaka kuwadhuru viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi, UKAWA, hususan Mwenyekitu wa chama hicho, James Mbatia.

Aidha, chama hicho kimesema hakitajiengua kwenye Umoja huo kama inavyoelezwa na baadhi ya wanachama wake kwa madai ya Umoja kushindwa kufikia baadhi ya makubaliano, hususan ya mgao wa majimbo.  Walipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, NCCR- Mageuzi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kenya yabadili msimamo wake wa kuwarudisha nyumbani wanafunzi waliopo Wuhan China

Serikali ya Kenya imesema kwamba haitawarudisha nyumbani wanafunzi 75 wa Kenya walio mjini Wuhan China kufuatia mlipuko wa virusi vya Corona

 

11 years ago

Mwananchi

Wanafunzi wamkata panga mwalimu wao

>Wanafunzi wawili wa Shule ya Sekondari ya Kibara, wilayani Bunda  wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Bunda wakikabiliwa na shtaka la kumshambulia na kumjeruhi kwa panga mwalimu mkuu wa shule hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

‘Wanaojihusisha kimapenzi na wanafunzi wao wabanwe’

BAADHI ya wajumbe wa Baraza la Watoto wametaka ziwekwe sheria kali kuwawajibisha walimu ambao wanajihusisha kimapenzi na wanafunzi wao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaonya wanaonyanyasa wanafunzi albino

SERIKALI imetoa wito kwa walimu na wadau wote wa elimu kwamba ni marufuku kuwanyanyasa watoto wenye ulemavu, hasa wenye ulemavu wa ngozi (albino) wanapokuwa shuleni. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi 826 na walimu wao wakimbia vita Kiteto

Siku kadhaa zimepita tangu kutokea kwa mapigano mapya kati ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara.

 

11 years ago

Michuzi

Wanafunzi wapatiwa mafunzo ya usalama na Afya mahala pa kazi na barabarani

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Naibu Kamishna wa Polisi Mohamed Mpinga akizungumza wakati wa semina ya mafunzo ya usalama mahala pa kazi na usalama barabarani iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kwa wanafunzi wa shule za msingi Oyster Bay, Msasani na Mbuyuni. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Usalama, Afya na Mazingira wa Vodacom Karen Lwakatare. Meneja wa Mamlaka ya Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA) kanda ya Pwani Jerome Materu akizungumza wakati wa semina ya mafunzo ya usalama mahala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani