Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaonya wanaonyanyasa wanafunzi albino

SERIKALI imetoa wito kwa walimu na wadau wote wa elimu kwamba ni marufuku kuwanyanyasa watoto wenye ulemavu, hasa wenye ulemavu wa ngozi (albino) wanapokuwa shuleni. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Wanaonyanyasa wanafunzi katika usafiri watakiwa kushughulikiwa.

Na Abdalla Pandu,

Zanzibar.

 

Wakati umefika kwa wadau mbalimbali kuhakikisha wanasimamia kikamilifu sheria za daladala juu ya kuwabeba wanafunzi ili kuondoa manyanyaso yanayofanywa na madereva na makondakta dhidi ya wanafunzi wakati wa kwenda shule ama kurejea nyumbani.

 

Jumuiya ya Serikali za wanafunzi visiwani Zanzibar imeamua kuwaalika wadau mbalimbali wanaohusika na usafirishaji pamoja na wasimamizi wa sheria ili kulitafutia ufumbuzi suala la manyanyaso wanayoyapata wanafunzi ambayo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakili wa Serikali anayechukizwa na wanaume wanaonyanyasa wake za

Dar es Salaam. “Ni vigumu kumudu kazi na familia kwa wakati wote kutokana na ukweli kwamba mwanamke anakabiliana na majukumu mengi ikiwamo ya kazini, kuhudumia familia na wakati huohuo kuangalia mume, lakini hatuna budi kukabiliana na changamoto hizi ili kuwa na familia bora.”

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yaonya wanaotorosha madini

20150422_125009

Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Tanzanite One, Hussein Gonga akiwa anamuonyesha Waziri wa Nishati na Madini, Mh. George Simbachawene madini ambayo yanachimbwa na kampuni yao. (Habari picha kwa hisani ya woindeshizza blog).

20150422_125128

Na Woinde Shizza, Arusha

Serikali imewataka wachimbaji na wanunuzi wa madini ya Tanzanite nchini, kuacha tabia ya Utoroshaji wa madini hayo nje ya nchi huku,ikiagizwa kuachwa kuuzwa madini ghafi.

Katika kudhibiti biashara hiyo, serikali kwa kushirikiana na kituo cha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yaonya ubadhilifu wa wahitimu

DSC02006

Wahitimu 1,808 wa fani mbalimbali wa vyuo vya uhasibu tawi la Mwanza na Singida, wakiwa kwenye maandamano ikiwa ni sehemu ya mahafali yao ya 12 yaliyofanyika mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

SERIKALI imeonya kwamba wahitimu wa ngazi mbalimbali za uhasibu na ugavi, haitawavumilia endapo watajihusisha na vitendo vya rushwa na ubadhilifu wa mali ya umma, kwa madai kwamba itawachukulia hatua kali za kisheria.

Aidha, imedai kwa sasa wataalamu wa nafasi hizo...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaonya wawekezaji feki

SERIKALI imeyaonya baadhi ya kampuni yenye nia ya kuja nchini kwa ajili ya uwekezaji katika sekta ya nishati, kuhakikisha hayashbikii vitendo vya rushwa.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaonya daftari la wapigakura

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) William Lukuvi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) William Lukuvi, ameonesha kutoridhishwa na utaratibu mbovu unaotumika kuandikisha wananchi katika daftari la kudumu la wapiga kura, kutokana na kuwa na mianya inayoweza kuingiza wasio raia wa Tanzania.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaonya siasa za kihuni, vurugu

Hawa GhasiaVYAMA vya siasa nchini vimetakiwa kuendesha siasa za kistaarabu na kutokuwa vyanzo vya vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo kwenye baadhi ya maeneo nchini viongozi wameripotiwa kutekwa wakati wakirejesha fomu huku maeneo mengine watu wakitajwa kuzuia uandikishaji wa wapiga kura.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaonya uuzaji pembejeo ‘feki’

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetoa onyo kwa mawakala wa pembejeo za kilimo na mifugo wanaotumia fursa hiyo kuchakachua kuelekea msimu wa kilimo. Tabia hiyo ya uchakachuaji wa pembejeo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Serikali ya Tanzania yaonya kuhusu ugaidi

Serikali ya Tanzania imesema kuwa itazichukulia hatua kali taasisi ama kikundi chochote kitakachogundulika kujihusisha na kutoa mafunzo ya vitendo vinavyoashiria ugaidi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani