Wakili wa Serikali anayechukizwa na wanaume wanaonyanyasa wake za
Dar es Salaam. “Ni vigumu kumudu kazi na familia kwa wakati wote kutokana na ukweli kwamba mwanamke anakabiliana na majukumu mengi ikiwamo ya kazini, kuhudumia familia na wakati huohuo kuangalia mume, lakini hatuna budi kukabiliana na changamoto hizi ili kuwa na familia bora.â€
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Serikali yaonya wanaonyanyasa wanafunzi albino
SERIKALI imetoa wito kwa walimu na wadau wote wa elimu kwamba ni marufuku kuwanyanyasa watoto wenye ulemavu, hasa wenye ulemavu wa ngozi (albino) wanapokuwa shuleni. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana...
9 years ago
Habarileo21 Dec
Serikali yakata rufaa kesi ya wakili Mwale
MAWAKILI wa serikali wamekata rufaa Mahakama ya Rufaa baada ya Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Gadi Mjemas anayesikiliza kesi ya wakili maarufu Median Mwale na wenzake watatu, kukataa baadhi ya vielelezo vya ushahidi kutoka nchini Marekani ikiwamo hati saba za viapo.
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Mwenyekiti Serikali ya Mtaa Segerea aapishwa na wakili binafsi
11 years ago
Michuzi09 Oct
Wakili wa Kenyatta ICC amwambia Bensouda afute kesi ya mteja wake kwani ushahidi hamna
5 years ago
Michuzi
WATUMISHI OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI WAPEWA SOMO KUHUSU VIRUSI VYA CORONA

Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali Watu na Utawala Bw. James Kibamba akizungumza na sehemu ya watumishi waliohudhulia mafunzo kuhusu namna sahihi ya kujinga na virusi vya ugonjwa wa Corona wakati akimkaribisha muwezeshaki Dkt. Peter Kibacha ambaye ni mtalaam bingwa wa afya na mtoto kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili. zoezi la kutoa elimu hiyo limefanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo katika Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali uliopo Jijini Dar es Salaam.

Bw. Yusuph Varisanga kutoka kitengo...
11 years ago
Habarileo23 Oct
'Wanaume washuhudie wake zao wakijifungua'
DHANA ya kutaka wanaume kushuhudia wake zao wakijifungua hospitalini, imeonekana kutokubalika kirahisi miongoni mwa jamii kutokana na kile kinachodaiwa kuwa mila na desturi nyingi hazitoi baraka juu ya hilo.
10 years ago
Mwananchi18 Dec
‘Wanaume mnaopigwa na wake zenu jitokezeni’
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
‘Wanaume wanaonyanyaswa na wake zao watoe taarifa’
SERIKALI imewataka wanaume kutoona haya na kufika kwenye madawati ya kijinsia yaliyopo katika vituo vya polisi nchini kutoa taarifa wanapofanyiwa vitendo vya kikatili na wake zao. Kauli hiyo ilitolewa mjini...
11 years ago
BBCSwahili29 Apr
Kenya:Wanaume huru kuoa wake wengi