NCCR — Mageuzi wahofia viongozi wao kudhuriwa
Chama cha NCCR-Mageuzi kimedai kugundua mbinu chafu zinazopangwa na kikundi kinachotajwa kutaka kuwadhuru viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi, UKAWA, hususan Mwenyekitu wa chama hicho, James Mbatia.
Aidha, chama hicho kimesema hakitajiengua kwenye Umoja huo kama inavyoelezwa na baadhi ya wanachama wake kwa madai ya Umoja kushindwa kufikia baadhi ya makubaliano, hususan ya mgao wa majimbo. Walipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, NCCR- Mageuzi...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI ASEMA TARARIBU ZA KUNING'OA NAFASI YANGU ZILIKIUKWA NA NCCR -MAGEUZI


Na Chalila KibudaAALIYEKUWA Makamu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Letcia Mosore amesema kuwa taratibu za kumvua nafasi...
5 years ago
MichuziVIONGOZI WA CHADEMA WAJIUNGA NCCR - MAGEUZI
10 years ago
Mzalendo Zanzibar20 Sep
VIDEO: Mh Mbowe Ajibu Malalamiko ya Viongozi wa NCCR-Mageuzi
Sunday, September 20, 2015 MWENYEKITI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni mwenza wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananachi (UKAWA), Freeman Mbowe amesema, wanaoleta chokochoko ndani ya umoja huo walitaka upendeleao. Kauli […]
The post VIDEO: Mh Mbowe Ajibu Malalamiko ya Viongozi wa NCCR-Mageuzi appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
MichuziWENYEVITI WA TAIFA WA VYAMA VYA NCCR -MAGEUZI ,JAMES MBATIA NA AGUSTINE MREMA WA TLP WAWANADI WAGOMBEA WAO JIMBONI VUNJO.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
11 years ago
GPL
10 years ago
Mtanzania21 Feb
NCCR-Mageuzi yapuliza kipenga
Jonas Mushi na Adamu Mkwepu, Dar es Salaam
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimetoa ratiba kwa wanachama wake kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Ratiba hiyo ilitangazwa jana na Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi, Mosena Nyambabe, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho.
Alisema wanachama wenye sifa kwa mujibu wa katiba ya NCCR- Mageuzi pamoja na ile ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wana haki ya...
11 years ago
TheCitizen21 Jan
NCCR-Mageuzi gets new secretary-general
10 years ago
Habarileo21 Aug
NCCR Mageuzi yaongezewa majimbo
CHAMA cha NCCR Mageuzi kimesema katika mgawanyo wa majimbo yaliyofanywa na vyama vinavyounda umoja wa katiba (Ukawa) kimeongezewa majimbo mengine matano na hivyo kufanya chama hicho kuwa na majimbo 19 ambako watasimamisha wagombea.
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Dk Kahangwa: Nitawania urais NCCR- Mageuzi