VISHAWISHI VYA KIMAPENZI KWA WANAFUNZI NA JINSI YA KUVISHINDA-2
![](http://api.ning.com:80/files/knSjhwKOr7v4-6XYQt62wLN4zbtGth6MCPz-IZJIDz8BvTzkPK*4-fSaNlnmEI52qq0Hds-vcJi1iY4d2SXUctkggUbpPyzQ/wpidboycouplecutedelicatedotsgirlfavimcom63268.jpg?width=650)
Na. Richard Manyota Simu: +255 714 895555 Naendelea kuelezea jinsi wanafunzi wanavyoweza kushinda vishawishi vya kuingia kwenye mapenzi. Ni wajibu wa mwanafunzi kugomea zawadi inayokuja kwa mlango wa nyuma, kwa vile watafiti wanasema watu tisa kati ya kumi wanaosaidia husaidia ili wajisaidie ni mmoja tu anayesaidia kwa maana ya kusaidia. (3) - MAZINGIRA MAGUMU –Mazingira magumu yametajwa sana na baadhi ya wanafuzi kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Waaswa kuepuka vishawishi vya ngono
WANAFUNZI waliohitimu darasa la saba shule ya Msingi Tagamenda Kalenga Iringa Vijijini wameaswa kudumisha nidhamu, maadili na kuepuka vishawishi vya ngono za umri mdogo badala yake wazingatie masomo ya Sekondari...
9 years ago
Habarileo04 Sep
Magufuli: Nilikwepa vishawishi vya rushwa
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameelezea namna alivyokuwa akikwepa vishawishi kutokana na hulka yake ya kusimamia uadilifu, uchapakazi na utoaji huduma kwa umma kwa wakati.
10 years ago
Habarileo27 May
‘Wanaojihusisha kimapenzi na wanafunzi wao wabanwe’
BAADHI ya wajumbe wa Baraza la Watoto wametaka ziwekwe sheria kali kuwawajibisha walimu ambao wanajihusisha kimapenzi na wanafunzi wao.
9 years ago
Dewji Blog22 Nov
Maafisa Wahasibu na wataalamu wa manunuzi na ugavi nchini watakiwa kujiepusha na vishawishi vya rushwa!
9 years ago
Bongo510 Dec
Hussein Machozi asema ameng’atuka kwenye muziki kukwepa vishawishi vya kutumia dawa za kulevya
![machozi-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/05/machozi-2-174x200.jpg)
Hussein Machozi ambaye hapo jana ametangaza kuachana na muziki amesema kuwa kuna wasanii wengi ambao hujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya kutoka na stress.
Stress anazozizungumzia Hussein ni pamoja na kushindwa kufanya vizuri kwenye muziki kama ilivyomtokea yeye, na pia maneno ya watu wanaowasema vibaya wasanii wanaoamua kuachana na muziki kuwa wamefulia.
“Ngoja leo niwaeleze jambo watanzania unajua kuambiwa umefulia inaumiza sana, hivyo kuna kundi kubwa la wasanii wameingia katika...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OUOhUfH_2ao/XqMLYpo0AdI/AAAAAAALoIY/AEkNAvMKvFQUvLGK0UkFqkGAIIaFyRKqwCLcBGAsYHQ/s72-c/94312930_2741905162575055_8908452115450429440_o.jpg)
5 years ago
BBCSwahili31 Mar
Coronavirus: Jinsi marufuku ya kutoka nje ya virusi vya corona inavyowaathiri wanawake kwa kunyanyaswa
10 years ago
Michuzi19 Jun