Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli: Nilikwepa vishawishi vya rushwa

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameelezea namna alivyokuwa akikwepa vishawishi kutokana na hulka yake ya kusimamia uadilifu, uchapakazi na utoaji huduma kwa umma kwa wakati.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Maafisa Wahasibu na wataalamu wa manunuzi na ugavi nchini watakiwa kujiepusha na vishawishi vya rushwa!

SAM_0202

KatibuMkuu Wizara ya Fedha,Bwana Servacius Likwelile akizungumza na wahitimu  wa taasisi ya Uhasibu kampas za Mwanza,Kigoma na Singida(Picha zote Na,Jumbe Ismailly) Na.Jumbe Ismailly [SINGIDA] Maafisa  Wahasibu pamoja na Wataalamu wa manunuzi na ugavi nchini wametakiwa kujiepusha na vishawishi au vitendo vya rushwa na ubadhirifu wawapo makazini,kutokana na vitendo vya rushwa na ubadhirifu kuwa na madhara makubwa kwa maisha ya mtu mmoja mmoja na uchumi wa taifa kwa ujumla.Katibu Mkuu Wizara...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Waaswa kuepuka vishawishi vya ngono

WANAFUNZI waliohitimu darasa la saba shule ya Msingi Tagamenda Kalenga Iringa Vijijini wameaswa kudumisha nidhamu, maadili na kuepuka vishawishi vya ngono za umri mdogo badala yake wazingatie masomo ya Sekondari...

 

10 years ago

GPL

VISHAWISHI VYA KIMAPENZI KWA WANAFUNZI NA JINSI YA KUVISHINDA-2

Na. Richard Manyota
Simu: +255 714 895555 Naendelea kuelezea jinsi wanafunzi wanavyoweza kushinda vishawishi vya kuingia kwenye mapenzi.
Ni wajibu wa mwanafunzi kugomea zawadi inayokuja kwa mlango wa nyuma, kwa vile watafiti wanasema watu tisa kati ya kumi wanaosaidia husaidia ili wajisaidie ni mmoja tu anayesaidia kwa maana ya kusaidia. (3) - MAZINGIRA MAGUMU –Mazingira magumu yametajwa sana na baadhi ya wanafuzi kuwa...

 

9 years ago

Bongo5

Hussein Machozi asema ameng’atuka kwenye muziki kukwepa vishawishi vya kutumia dawa za kulevya

machozi-2

Hussein Machozi ambaye hapo jana ametangaza kuachana na muziki amesema kuwa kuna wasanii wengi ambao hujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya kutoka na stress.

machozi-2

Stress anazozizungumzia Hussein ni pamoja na kushindwa kufanya vizuri kwenye muziki kama ilivyomtokea yeye, na pia maneno ya watu wanaowasema vibaya wasanii wanaoamua kuachana na muziki kuwa wamefulia.

“Ngoja leo niwaeleze jambo watanzania unajua kuambiwa umefulia inaumiza sana, hivyo kuna kundi kubwa la wasanii wameingia katika...

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli: Nitapambana na wala rushwa

magufuliNa Bakari Kimwanga, Rukwa

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali ya awamu ya tano atahakikisha anapambana na watendaji wala rushwa serikalini.

Amesema watendaji hao ndiyo wamekuwa wakikwamisha juhudi za Serikali kupeleka maendeleo kwa wananchi hali inayosababisha malalamiko ya wananchi.

Kauli hiyo aliitoa jana kwa nyakati tofauti alipohutubia wananchi katika mikutano ya kampeni  katika mikoa ya Katavi na Rukwa.

Dk....

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli amfuta mkuu wa kupambana na rushwa

Rais wa Tanzania John Magufuli amemfuta kazi Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa akisema hajaridhishwa na utenda kazi wake.

 

9 years ago

Habarileo

Samia amkubali Magufuli vita dhidi ya rushwa

MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Hassan Suluhu, amemnadi mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli kwamba hana mchezo na vitendo vya rushwa jambo litakaloleta maendeleo zaidi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viatu vya rushwa vinampwaya JK

UKWELI huu waweza kuwaudhi wanafiki na mafisadi lakini naomba tuvumiliane kwamba Rais Jakaya Kikwete kwa muda wa miaka tisa aliyokaa madarakani vita ya rushwa imemshinda. Kama tungetumia mfano wa viatu,...

 

10 years ago

Michuzi

ACHENI RUSHWA TUISAIDIE NCHI IPATE MAENDELEO -DK.MAGUFULI.

   Waziri wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuli  akizungumza katika ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi wa wizara Ujenzi katika Hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam leo.Mhandisi Mussa Lyombe akizungumza leo jijini Dar es Salaam,katika ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara ya ujenzi. Baraza la wafanyakazi wa wizara ya ujenzi waliohudhuria katika  ufunguzi wa baraza hizo leo jijini Dar es Salaam.Picha ya pamoja ya waziri wa Ujenzi  pamoja na  Baraza la wafanyakazi wa wizara ya ujenzi....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani