JK aipa neno Stars, amfagilia Samatta
RAIS mstaafu wa Tanzania, Dk Jakaya Kikwete amesema Taifa Stars kama inahitaji ushindi katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Algeria inahitaji kujituma kwa moyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo09 Oct
Samatta atoa neno zito Stars
BAADA ya kufanikiwa kufunga bao moja katika ushindi wa mabao 2-0 ilioupata Stars ikiwa nyumbani dhidi ya Malawi, Mbwana Samata amesema, kama wachezaji wa Stars wangekuwa makini basi wangeweza kufunga mabao mengi zaidi kwenye mchezo huo.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar04 Sep
Maalim Seif arejesha fomu, aipa neno Zec.
Maalim Seif arejesha fomu, aipa neno Zec. NA RAHMA SULEIMAN 4th September 2015 Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif hamad, jana alirejesha fomu kimyakimya wala kuwa na wapambe wa chama […]
The post Maalim Seif arejesha fomu, aipa neno Zec. appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Habarileo14 Oct
Kikwete aipa moyo Stars
RAIS Jakaya Kikwete ameitia moyo timu ya Taifa, Taifa Stars na kuwataka wasikate tamaa kwani wanaweza kuifunga Algeria. Taifa Stars inatarajia kucheza hatua ya pili dhidi ya Algeria katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Urusi katika mchezo utakaochezwa Novemba 14, mwaka huu Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Makocha waipa neno beki ya Stars
9 years ago
Mwananchi26 Nov
JK aibukia Addis awapa neno Kili Stars
9 years ago
Habarileo08 Oct
Samatta, Ulimwengu waing’arisha Stars
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, jana ilitakata baada ya kuifunga Malawi `The Flames’ kwa mabao 2-0 katika mchezo wa kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NOzw*b8EyMqXIZ*72e-KIr-FtBY09gPsxOWJeFrQYbXuRUa9l32HB1FDg3YM9bSyT1VQ-kDhGzQ2hsFFjfBQVQIBXVM0KNU3/samata.gif?width=650)
Mbwana Samatta amtaja aliyeimaliza Stars
9 years ago
Michuzi03 Sep
NGASA, ULIMWENGU, SAMATTA WAJIUNGA STARS
![](http://tff.or.tz/images/mkwasa.png)
9 years ago
TheCitizen05 Nov
Samatta keen to fire Stars to glory