Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK AKINUNUA MAHITAJI YA NYUMBANI


RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi.(Picha na Freddy Maro)

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba Hadija Mwinuka ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum wawapeleke shule badala ya kukaa nao nyumbani na kuwafungia

Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya

Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume  wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...

 

10 years ago

GPL

KCEE ANASWA SOKONI AKINUNUA MAFUTA YA MAWESE

STAA wa 'Limpopo', Kcee akiwa kwenye soko kuukuu akinunua mafuta ya mawese pamoja na matunda. LAGOS, Nigeria STAA wa 'Limpopo', Kcee wikiendi iliyopita alituma picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa sokoni.  Kcee siyo mgeni kwa wadau wa muziki wa Bongo, kwani ameshafanya ngoma na Shetta inayoitwa Shikorobo lakini pia amemshirikisha Diamond Platinumz  katika wimbo mpya wa ‘Love Boat’.  Kcee alituma...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU SPIKA DKT. TULIA AKINUNUA NYANYA SOKOMATOLA MBEYA



Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akinunua mahitaji mbalimbali ya nyumbani ikiwemo nyanya Sokomatola mkoani Mbeya. Picha na Michael Msombe

 

11 years ago

Dewji Blog

Mjadala; Watanzania Diaspora, Tunawataka wajenge vihenge nyumbani, lakini hatutaki wawe na haki kama tulio nyumbani, kwanini?

MJENGWA

Ndugu zangu,

Leo alfajiri niliongoza mjadala kwenye redio za Kwanza Jamii na Nuru FM kuhusiana na kongamano linaloendelea Dar la Watanzania wa Diaspora wanaokutana nyumbani, Tanzania.

Ni kwa nini tuna hofu na Watanzania wenzetu walio ughaibuni? Hofu hii ni ya kihistoria.

Kwanini kongamano hili la kwanza kufanyika lisiwe la mwisho kufanyika katika sura yake hii, kwamba maudhui ya kongamano yenyewe kuwa ni ; connect, engage, inform and ivest nako kunakosekana dhana integration kwa maana ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mahitaji ya msingi ya biashara changa

Biashara inayoanza (biashara changa) ni tofauti kabisa na ile inayokua au iliyokua.Mahitaji ya msingi ya biashara hizi katika mchakato wa hatua za maendeleo yake, ndivyo vitu muhimu vinavyotofautisha biashara moja iliyo katika hatua ya mwanzo dhidi ya ile iliyo katika hatua ya pili au ya tatu.

 

11 years ago

Mwananchi

Qorro: Mahitaji ya Kiswahili yaongezeka

Watanzania waliobobea kwenye taaluma ya Lugha ya Kiswahili wametakiwa kuchangamkia fursa ya kwenda kufundisha Kiswahili katika nchi mbalimbali ambazo lugha hiyo inakua kwa kasi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mahitaji ya makundi maalumu kwa wagombea

Wakati kampeni za uchaguzi mkuu zikiwa zinaanza leo, makundi mbalimbali maalumu, yameeleza mambo ambayo wangetaka Serikali ijayo ingeyashughulikia ili kuwapunguzia ugumu wa maisha.

 

11 years ago

Mwananchi

Haya ndiyo mahitaji muhimu ya biashara

Biashara inayokua ina viashiria mbalimbali vinavyoibainisha na kuitofautisha na biashara nyingine kama vile kuongezeka kwa mtaji wa biashara, kuongezeka kwa faida, kuongezeka kwa wafanyakazi, kuongezeka kwa mauzo, utengenezaji wa bidhaa mpya au utoaji wa huduma wa bidhaa mpya na nafasi yake katika soko.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani