KCEE ANASWA SOKONI AKINUNUA MAFUTA YA MAWESE

STAA wa 'Limpopo', Kcee akiwa kwenye soko kuukuu akinunua mafuta ya mawese pamoja na matunda. LAGOS, Nigeria STAA wa 'Limpopo', Kcee wikiendi iliyopita alituma picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa sokoni.  Kcee siyo mgeni kwa wadau wa muziki wa Bongo, kwani ameshafanya ngoma na Shetta inayoitwa Shikorobo lakini pia amemshirikisha Diamond Platinumz katika wimbo mpya wa ‘Love Boat’.  Kcee alituma...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
GARI LAMWAGA MAFUTA YA MAWESE, LASABAISHA UTELEZI BARABARANI DAR
11 years ago
Uhuru NewspaperJK AKINUNUA MAHITAJI YA NYUMBANI
10 years ago
BBCSwahili23 Jul
Ukulima wa Mawese Liberia wazuliwa baa
10 years ago
Habarileo07 Sep
Wauza mawese kuamua hatima ya wabunge
KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT – Wazalendo, Kabwe Zitto amesema kuwa wauza mawese ndiyo wataamua hatima ya ubunge wa wagombea ubunge mkoani Kigoma.
5 years ago
Michuzi
NAIBU SPIKA DKT. TULIA AKINUNUA NYANYA SOKOMATOLA MBEYA


Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akinunua mahitaji mbalimbali ya nyumbani ikiwemo nyanya Sokomatola mkoani Mbeya. Picha na Michael Msombe
5 years ago
Michuzi
EWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.

Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.

Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.

Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...
10 years ago
VijimamboMamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), imepunguza bei za mafuta kote nchini
10 years ago
Bongo526 Sep
Video: Kcee — Agbomma
10 years ago
Michuzi