Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GARI LAMWAGA MAFUTA YA MAWESE, LASABAISHA UTELEZI BARABARANI DAR

Vijana wakiondoa mafuta yaliyomwagika barabarani. Mwonekano wa eneo hilo.  Usafishaji wa barabara kwa maji ukiendelea. Mfereji uliojaa mafuta yaliyomwangika.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KCEE ANASWA SOKONI AKINUNUA MAFUTA YA MAWESE

STAA wa 'Limpopo', Kcee akiwa kwenye soko kuukuu akinunua mafuta ya mawese pamoja na matunda. LAGOS, Nigeria STAA wa 'Limpopo', Kcee wikiendi iliyopita alituma picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa sokoni.  Kcee siyo mgeni kwa wadau wa muziki wa Bongo, kwani ameshafanya ngoma na Shetta inayoitwa Shikorobo lakini pia amemshirikisha Diamond Platinumz  katika wimbo mpya wa ‘Love Boat’.  Kcee alituma...

 

10 years ago

GPL

GARI KUBWA LAHARIBIKIA BARABARANI

Sehemu ya mzigo ukihamishwa kutoka gari lililoharibika. KAMERA ya GPL imeshuhudia gari kubwa likiwa limeharibika katikati ya barabara maeneo ya Tabata na kusababisha foleni kwa muda  huku askari wa usalama barabarani kwa kushirikiana wadau wakifanya jitihada za kuhamisha mzigo  ya gari hilo ili kutokusababisha foleni. (PICHA: GABRIEL…

 

10 years ago

BBCSwahili

Gari linalohisi mashimo barabarani

Watafiti wa gari aina ya Landrover Jaguar wametengeza gari ambalo linaweza kuhisi mashimo yalio barabarani wakati linapoendeshwa.

 

11 years ago

GPL

DOMIC MAGE: NILIBURUZWA NA GARI BARABARANI NIKIOMBA

Na Makongoro Oging’
HAKIKA Mungu ni wa ajabu sana. Licha ya kwamba Domic Mage alizaliwa akiwa mlemavu, hali iliyomfanya ashindwe kujimudu kimaisha na hivyo kuishia kuwa omba omba, bado aligongwa na gari, lililomburuza urefu wa mita 40 na kumzidishia maumivu makali zaidi ya mwili. Domic Mage akiwa anatafakali jambo. Kwa zaidi ya miaka 10, Domic, mkazi wa kijiji cha Mvuti wilayani Temeke amekuwa barabarani akiomba, licha...

 

10 years ago

Michuzi

KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WAPEWA GARI LA MATANGAZO

Balozi wa Japani nchini, Masaharu Yoshida( katikati) akikata utepe kuzindua gari la maalumu litakalotumika na kikosi cha usalama barabarani katika shughuli za uelimishaji, (kushoto) ni Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani, Naibu kamishina wa Polisi(DCP) Mohamed Mpinga ( kulia )ni Msaidizi wa balozi, Bw Kazioshi. 

 

11 years ago

Michuzi

DEREVA AJERUHIWA NA KUPORWA GARI LA MAFUTA

Dereva wa gari la mafuta lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Karatu Stefano John (42) akiwa amejeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi ambapo waliondoka na gari hilo aina ya Scania lenye namba za usajili T 116 BKQ na tela namba T 959 AVH likiwa na lita elfu 40,000 za mafuta aina ya petroli. (Picha na John Gagarini,Globu ya Jamii,Pwani)

 

11 years ago

Michuzi

WANANCHI KUNUNUA MAFUTA YA GARI KUPITIA M PESA

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya kulipia mafuta kwa Mpesa kwenye vituo vya mafuta vya Total nchini. Kulia ni Mkurugenzi wa Biashara wa Total Romee de Villeneuve. Uzinduzi huo umefanyika leo jijini Dra es salaam.   Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Salum Mwalim akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) jinsi ya kulipia mafuta kwa Mpesa kwenye vituo vya mafuta vya Total muda mfupi baada ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mkenya, Mrundi jela kwa wizi wa gari, mafuta

RAIA wa Kenya na mwingine wa Burundi waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa gari na mafuta ya petroli wamehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja kila mmoja, huku Watanzania watatu wakiachiwa huru kwa kukosekana ushahidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani