DOMIC MAGE: NILIBURUZWA NA GARI BARABARANI NIKIOMBA

Na Makongoro Oging’ HAKIKA Mungu ni wa ajabu sana. Licha ya kwamba Domic Mage alizaliwa akiwa mlemavu, hali iliyomfanya ashindwe kujimudu kimaisha na hivyo kuishia kuwa omba omba, bado aligongwa na gari, lililomburuza urefu wa mita 40 na kumzidishia maumivu makali zaidi ya mwili. Domic Mage akiwa anatafakali jambo. Kwa zaidi ya miaka 10, Domic, mkazi wa kijiji cha Mvuti wilayani Temeke amekuwa barabarani akiomba, licha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLGARI KUBWA LAHARIBIKIA BARABARANI
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Gari linalohisi mashimo barabarani
10 years ago
Michuzi
KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WAPEWA GARI LA MATANGAZO

10 years ago
GPL
GARI LAMWAGA MAFUTA YA MAWESE, LASABAISHA UTELEZI BARABARANI DAR
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Barabara za Nigeria : 'Mwanangu wa kiume alikufa kwa ajali ya gari- na sasa ninaongoza magari barabarani'
10 years ago
Mzalendo Zanzibar09 Sep
MAGE: Installing UKAWA to Tanzania Governmental System
The post MAGE: Installing UKAWA to Tanzania Governmental System appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Bongo Movies01 Oct
Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao
NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...
11 years ago
GPLAIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU