Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukulima wa Mawese Liberia wazuliwa baa

Wanaharakati wa mazingira Global Witness, wameihsutumu kampuni ya mauzo ya mawese, kwa kutumia mlipuko wa Ebola kujitajirisha.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TBL YATOA SOMO LA UKULIMA BORA WA ZAO LA SHAYIRI MKOANI ARUSHA


 Joel Msechu mtaalamu wa zao la shayiri kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) akiwaonesha wakulima magonjwa wa shayiri na namna ya kuzuia magonjwa hayo katika katika mashamba yaliyopo Kijiji cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha. Wakulima hao huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa zao hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea bia zinzozalishwa na kampuni hiyo.


 Meneja wa Zao la Shayiri Dk. Bennie Basson akiwaonesha wakulima kijitabu cha muongozo wa kilimo cha...

 

9 years ago

Habarileo

Wauza mawese kuamua hatima ya wabunge

KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT – Wazalendo, Kabwe Zitto amesema kuwa wauza mawese ndiyo wataamua hatima ya ubunge wa wagombea ubunge mkoani Kigoma.

 

10 years ago

GPL

KCEE ANASWA SOKONI AKINUNUA MAFUTA YA MAWESE

STAA wa 'Limpopo', Kcee akiwa kwenye soko kuukuu akinunua mafuta ya mawese pamoja na matunda. LAGOS, Nigeria STAA wa 'Limpopo', Kcee wikiendi iliyopita alituma picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa sokoni.  Kcee siyo mgeni kwa wadau wa muziki wa Bongo, kwani ameshafanya ngoma na Shetta inayoitwa Shikorobo lakini pia amemshirikisha Diamond Platinumz  katika wimbo mpya wa ‘Love Boat’.  Kcee alituma...

 

9 years ago

GPL

GARI LAMWAGA MAFUTA YA MAWESE, LASABAISHA UTELEZI BARABARANI DAR

Vijana wakiondoa mafuta yaliyomwagika barabarani. Mwonekano wa eneo hilo.  Usafishaji wa barabara kwa maji ukiendelea. Mfereji uliojaa mafuta yaliyomwangika.…

 

11 years ago

Habarileo

Kelele za baa, klabu kudhibitiwa

OFISI ya Makamu wa Rais (Mazingira), imetunga kanuni ya kudhibiti kelele na mitetemo kutoka kwa waendeshaji wa klabu za usiku, baa, matangazo ya wanaozunguka barabarani na hata mahubiri katika maeneo ya ibada.

 

10 years ago

Habarileo

Ajenga baa katikati ya makaburi

MKAZI wa Mtaa wa Misufini, Kata ya Nyasa, Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara, Innocent Mtaro anatuhumiwa kujenga baa katikati ya makaburi.

 

11 years ago

GPL

WAREMBO WALA KICHAPO BAA

Stori: Denis Mtima na Chande Abadallah
BALAA! Siku chache tu baada ya kumalizika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, warembo wawili ambao majina yao hayakufahamika haraka wamejikuta wakila kichapo kutoka kwa mabaunsa kufuatia kuchelewa kutoka ndani ya baa waliyokuwa wakipombeka. Akilia baada ya kula kichapo. Tukio hilo la aina yake lilijiri Agosti 5, mwaka huu katika baa hiyo mpya iliyopo Sinza ya Afrikasana jijini Dar es Salaam....

 

11 years ago

GPL

BAAMEDI AUZA BAA NA MTOTO

Chande Abdallah na Deogratius Mongela
MSICHANA aliyejitambulisha kwa jina la Halima Jumanne (20) amejikuta akiuza baa huku akiwa na mtoto wa mwaka mmoja na nusu ubavuni kisa kikidaiwa hali ngumu ya maisha. Halima Jumanne (20) akiwa na mwanaye mzigoni katika baa moja (jina limehifadhiwa) iliyopo Buza Kanisani jijini Dar. Tukio hilo la kushangaza lilijiri Juni 2, mwaka huu kwenye baa moja (jina kapuni) iliyopo Buza Kanisani...

 

11 years ago

GPL

BAA YAGEUZWA KANISA DAR

Stori: Denis Mtima
WAKATI matukio mengi ya kushangaza na kushtukiza yakiendelea kutokea kila siku duniani, neno la Mungu nalo linazidi kushika kasi kufuatia baa moja iliyopo Sinza-Lion jijini Dar kugeuzwa kuwa kanisa. Baa iliyopo Sinza-Lion jijini Dar ambayo imegeuzwa kuwa kanisa. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa baa hiyo maarufu iitwayo The Don, ukumbi wake ambao ulikuwa ukitumika kwa watu kupiga ulabu, hivi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani