Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK aomboleza kifo cha Kanali (mst) Ayubu Shomari Mohamed Kimbau

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuombeleza kifo cha mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa mbunge wa muda mrefu wa Jimbo la Mafia, Mkoa wa Pwani, Kanali (mst) Ayubu Shomari  Mohamed Kimbau, ambaye aliaga dunia asubuhi ya leo,  Jumapili, Agosti 30, 2015 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam. Katika salamu za rambirambi alizomtumia Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Eng. Evarist Ndikilo, Rais...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TANZIA: Mzee Col. Ayubu Kimbau passing away - RIP

This Sunday morning Colonel Ayubu Shomari Mohamed Kimbau has passed away.  The Wake is being held at his home in the Victoria neighbourhood of Dar es Salaam.He had been a stalwart member of our Club for many years until his health deteriorated and kept him away.   His burial is planned for tomorrow evening on the island of Mafia.The late Col. Kimbau had for many years been the Member of Parliament for CCM in Mafia, up until 2000 when he stepped down to end a distinguished political career. ...

 

11 years ago

Michuzi

JK aomboleza kifo cha Nkwabi Ng’wanakilala

Nkwabi-Ng’wanakilalaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Mt. Augustine, Bwana Nkwabi Ng’wanakilala.Bwana Ng’wanakilala ambaye alifariki dunia mwishoni mwa wiki kwenye Hospitali ya Rufani ya Bugando mjini Mwanza kwa matatizo ya figo na tumbo, alizikwa  Jumatatu, Julai Mosi, 2014, nyumbani kwake Kibamba, Dar es Salaam.Katika salamu ambazo amemtumia Mkuu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Malinzi aomboleza kifo cha Marsh

Aliyekuwa kocha msaidizi wa Taifa Stars, Sylvester Marsh amefariki dunia jana kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Dewji Blog

JK aomboleza kifo cha Mchungaji Mtikila

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi na maombolezo kumlilia Mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (pichani), ambaye alipoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea alfajiri ya leo, Jumapili, Oktoba 4, 2015, katika Kijiji cha Msolwa, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Katika salamu zake za rambirambi kwa Chama cha DP, Rais Kikwete amesema: “ Nimepokea kwa huzuni kubwa taarifa...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete aomboleza kifo cha Kundya

RAIS Rais Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone, kuomboleza kifo cha aliyepata kuwa Naibu Waziri, Mbunge na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Mahami Kundya.

 

10 years ago

Habarileo

JK aomboleza kifo cha Meja Jenerali Lupogo

RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi na pole kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange kuomboleza kifo cha Meja Jenerali Herman Lupogo aliyeaga dunia Jumapili ya Oktoba 19, 2014, akiwa na umri wa miaka 76 katika Hospitali Kuu ya Jeshi ya Lugalo, Dar es Salaam ambako alikuwa anapata matibabu.

 

11 years ago

Habarileo

Rais Kikwete aomboleza kifo cha Ng’wanakilala

RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi, kuomboleza kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Mt. Augustine, Nkwabi Ng’wanakilala.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aomboleza kifo cha Jenerali Makunda

RAIS Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange kufuatia kifo cha Meja Jenerali mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Rowland Makunda.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aomboleza kifo cha Mzee Kisumo

RAIS Jakaya Kikwete ameelezea kuhuzunishwa na kifo cha mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, Mzee Peter Kisumo ambaye alipata kuwa Mzee wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhamini wa CCM na aliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya Serikali na utumishi wa umma ukiwemo uwaziri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani