Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Aprili 30 kusuka au kunyoa

RAIS Jakaya Kikwete, amesema kuwa Aprili 30 mwakani ni siku ya kusuka au kunyoa katika kupata Katiba Mpya. Rais Kikwete, alitoa kauli hiyo mjini Dodoma jana wakati akizungumza katika mkutano...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Pluijm kusuka au kunyoa

Kocha Mdachi wa Yanga, Hans Pluijm ndiye pekee anayejua hatima ya wachezaji tisa wa klabu hiyo kuendelea au kuondolewa kwenye klabu hiyo msimu ujao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kusuka au kunyoa Twiga au Shepolopolo?

Ni kusuka au kunyoa ambapo kitendawili cha timu gani itafuzu kucheza fainali za michezo ya Afrika kwa upande wa soka la wanawake .

 

9 years ago

Habarileo

TFF yamtaka Mkwasa kusuka, kunyoa

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemtaka kocha wa muda wa timu ya taifa Taifa Stars Charles Mkwasa kufanya maamuzi kama atabaki kuwa kwenye timu hiyo ama Yanga. TFF ilimpa Mkwasa nafasi ya kuwa kocha wa muda wa Stars baada ya kumfuta kazi Mart Nooij Julai mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Hatua za kunyoa vinyweleo

Msomaji wa kipengele hiki cha urembo, leo tutaangalia hatua za kufuta wakati wa kunyoa vinyweleo.

 

10 years ago

Mtanzania

CCM yajichimbia kusuka ripoti ya kina Lowassa

kikweteNa Esther Mbussi, Dar es Salaam
KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC), itategua kitendawili dhidi ya makada sita waliopewa adhabu ya mwaka mmoja kwa madai ya kuanza kampeni za kuwania urais ndani ya chama hicho kabla ya wakati.
Kutokana na hatua hiyo katika kikao hicho kitakachofanyika Februari 28, Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM, Philip Mangula, atawasilisha ripoti yake ya tathmini dhidi ya makada hao kama walitekeleza adhabu waliyopewa na chama ama la.
Makada hao walitakiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakorea waagizwa kunyoa kiduku kama Rais wao Kim

Wanaume Korea Kaskazini wanakabiliwa na mtihani mpya katika taifa lao; wa kunyoa nywele kwa mtindo ulioamuliwa na rais wao.

 

9 years ago

Vijimambo

Shahidi aeleza anayedaiwa kusuka mpango wa mauaji alivyonaswa

Erasto Msuya
Shahidi wa tatu wa upande wa mashtaka, Damian Chilumba, katika kesi ndani ya kesi iliyoibuka wakati wa usikilizwaji wa kesi ya mauaji ya kukusudia ya mfanyabiashara, bilionea wa madini ya Tanzanite, Erasto Msuya (43), amedai mshtakiwa Mussa Mangu, ndiye aliyeisaidia Polisi kumtia mbaroni ‘bosi’ aliyesuka mpango mzima wa mauaji hayo.

Chilumba ambaye kwa sasa ni Mkaguzi wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, alimedai baada ya kumkamata Mussa, aliwaeleza kwamba yeye binafsi...

 

9 years ago

Bongo5

Kanye West hutumia zaidi ya shilingi milioni moja kila siku kunyoa nywele

screen-shot-2015-04-16-at-8-54-18-am

Kanye West anadai kutumia $500 kila siku ambazo ni zaidi ya shilingi milioni moja kunyoa nywele.

screen-shot-2015-04-16-at-8-54-18-am

Kwa mwaka hiyo inaaminisha kuwa hutumia zaidi ya $180,000.

Taarifa hizo zilisemwa na baba yake Rihanna kwenye mahojiano na jarida la Heat, Ronald Fenty, aliyesafiri na Kanye na mwanae kwenye ziara yao mwaka 2010.

“It’s crazy – he pays his barber $500 a time,” alisema. “I don’t understand how that much hair gets taken off. Kanye just loves the fresh look.”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani