JK ataka mazungumzo na Ukawa yaombewe
RAIS Jakaya Kikwete amewaomba Watanzania kuombea mazungumzo baina yake na vyama vya siasa vya upinzani, ikiwemo vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Watanzania (UKAWA), yanayotarajiwa kuendelea Jumatatu ijayo, yamalizike kwa umoja na mshikamano.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 May
Merkel ataka suluhu kwa mazungumzo
11 years ago
Habarileo01 Jul
Maalim Seif ataka mazungumzo Katiba mpya
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Serikali imeshatumia fedha nyingi za wananchi kwenye mchakato wa kuandaa Katiba mpya, hivyo kitendo cha kushindwa kukamilisha mchakato huo kwa wakati, itakuwa ni hasara kubwa kwa taifa.
10 years ago
Habarileo21 Aug
Chadema: Mazungumzo na Ukawa jambo la heri
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema mazungumzo ya kusaka muafaka na kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni jambo la heri na kwamba yanastahili kuendelea hadi kufikia suluhu.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-pNBdVlin5Lw/VbHEumWFvGI/AAAAAAAHrYs/5dS9hlmWL6c/s72-c/unnamed.jpg)
BAADA YA UCHAGUZI WA AMANI, BURUNDI BAN KI MOON ATAKA KUTEJEA KWA MAZUNGUMZO
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, amezitaka pande zinazopingana nchini Burundi kubaki watulivu na kurejea mara moja katika meza ya majadiliano jumuishi ya kisiasa ili kumaliza tofauti zao na kujadili changamoto zinazolikabili taifa lao.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Katibu Mkuu, Julai 23, Ban Ki Moon ametambua hali ya Amani na utulivu iliyotawala wakati wa uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo ( Burundi )uliofanyika Julai 21...
11 years ago
Habarileo19 Apr
Sitta: Niko tayari kwa mazungumzo na Ukawa
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amesema ofisi yake ipo tayari kwa mazungumzo na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), ikiwa ni njia ya kuwezesha mchakato wa kutunga Katiba kuendelea kwa pamoja na kwa amani.
9 years ago
Habarileo03 Sep
Ataka wanawake kuipigia Ukawa
MKE wa mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Regina Lowassa amewataka wanawake kuipigia kampeni na kuuchagua Ukawa kuleta mabadiliko.
11 years ago
Habarileo24 Jun
Mbowe ataka Ukawa wajiimarishe
VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vikiwa na matumaini ya kuunganisha nguvu katika uchaguzi mkuu ujao, vimeambiwa kila kimoja kijiimarishe kivyake katika mapambano ya kisiasa. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, amesema vyama hivyo, visitegemee nguvu ya umoja huo badala yake, vijiimarishe kuleta ushindani katika harakati zao za kisiasa wanazoendelea kuzifanya.
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Askofu ataka UKAWA warudi bungeni
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Methodist nchini (TMC), Mathew Byamungu ametoa wito kwa wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kurejea kwenye Bunge la Katiba pindi litakapoanza tena. Askofu...
10 years ago
Habarileo19 Aug
Mjumbe Bunge Maalum ataka Ukawa wapuuzwe
WATANZANIA wametakiwa kuwapuuza Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa maelezo kuwa Bunge Maalumu la Katiba likivunjwa na kurejea tena siku zijazo kundi hilo litatoka tena bungeni.