JK ataka Waambata wa Elimu
RAIS Jakaya Kikwete ameielekeza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuhakikisha kuwa Balozi mbalimbali za Tanzania nje ya nchi zinakuwa na Waambata wa Elimu kwa nia ya kukabiliana na kutatua matatizo ya wanafunzi wa Tanzania wanaosoma katika nchi mbalimbali duniani.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo31 Jul
RC ataka itolewe elimu ya utapiamlo
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa ametaka maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji Maziwa ya Mama itumike kutoa elimu itakayosaidia kupunguza tatizo la utapiamlo linalosababisha udumavu.
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
Ataka elimu ya ujasiriamali wa vikundi
SERIKALI imetakiwa kuvipa kipaumbele vikundi vya ujasiriamali ikiwa na pamoja na kuwapatia elimu ya mafunzo mara kwa mara. Ushauri huo ulitolewa na Mwalimu wa Vikoba, Rukia Mwinyi wakati wa mafunzo ya wajasiliamali...
10 years ago
Dewji Blog11 May
Rais Kikwete: Wekeni waambata kulinda maslahi ya wanafunzi wa Tanzania nje
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameielekeza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuhakikisha kuwa Balozi mbali mbali za Tanzania nje ya nchi zinakuwa na Waambata wa Elimu kwa nia ya kukabiliana na kutatua matatizo ya wanafunzi wa Tanzania wanaosoma katika nchi mbali mbali duniani.
Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa moja ya wajibu mkubwa wa mabalozi wanaoziwakilisha Tanzania nje ya nchi ni kutetea na kulinda maslahi ya Watanzania walioko...
11 years ago
Habarileo28 Jun
Ataka elimu dhidi ya ukatili kuimarishwa
MWENYEKITI wa Umoja wa Wawakilishi wanawake (UWAWAZA) Mgeni Hassan Juma amezitaka asasi za kiraia kufanya kazi ya kutoa elimu kwa wananchi katika masuala mbalimbali ikiwemo ya vitendo vya ukatili na udhalilishaji wa kijinsia.
10 years ago
Habarileo05 Oct
Esther Bulaya ataka wazazi kuwekeza kwenye elimu
MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia kundi la vijana kutoka mkoani Mara, Esther Bulaya amewataka wazazi na wananchi kwa ujumla kuwekeza kwenye elimu kwani ndio msingi wa maisha.
11 years ago
Habarileo20 Jul
Mhadhiri ataka umakini sekta binafsi kuboresha elimu
IMEELEZWA kuwa ni hatari uwekezaji kwenye elimu nchini kufanywa na watu wasio na elimu ili mradi awe na pesa za majengo na vifaa mbalimbali.
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Esther Bulaya ataka wazazi wawekeze kwenye elimu
MBUNGE wa viti maalum Esther Bulaya (CCM), amewataka wazazi na wananchi kwa ujumla kuwekeza kwenye elimu kwa kuboresha miundombinu na kusomesha watoto wao kwa sababu ndio msingi wa maisha. Mbunge...
10 years ago
Dewji Blog01 Dec
Balozi Sefu Iddi ataka jamii itumie fursa elimu ya juu
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiwa na Mwenyeji wake Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dr. Asha-Rose Migiro wakiliongoza Gwaride kulingia kwenye uwanja wa Mahafali ya 26 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yaliyofanyika Makamu Makuu yake Bungo Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Na Othman Khamis Ame
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewahimiza Watanzania kuitumia fursa inayotolewa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT) katika kujipatia Taaluma huku wakiendelea na...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-tWNlZyGrJQg/VfFgm9ux5oI/AAAAAAAH3zI/dQg_uyfeQ8w/s72-c/images.jpg)
WAZIRI MKUU ATAKA ELIMU ZAIDI YA URUTUBISHAJI WA VYAKULA ITOLEWE KWA WANANCHI
![](http://4.bp.blogspot.com/-tWNlZyGrJQg/VfFgm9ux5oI/AAAAAAAH3zI/dQg_uyfeQ8w/s200/images.jpg)
Hata hivyo, Waziri Mkuu amesema kazi kubwa zaidi inabidi ifanyike ili elimu ya kutosha iweze kufikishwa kwa mabilioni ya watu ambao milo yao ya kila siku haina virutubisho vya kutosha.
Ametoa kauli hiyo jana...