JK ateua IGP mpya
Rais Jakaya Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi, Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania26 May
JK ateua DC mpya, ahamisha kumi
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amefanya uhamisho wa wakuu 10 wa wilaya kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa wilaya mbalimbali nchini na kumteua Anthony Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, mkoani Dodoma.
Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu Dar es Salaam jana, ilieleza kuwa katika mabadiliko hayo, rais Kikwete amemuhamisha Luteni Edward ole Lenga kutoka Wilaya ya Mkalama mkoani Singida kwenda kuwa mkuu wa Wilaya mpya ya Kyerwa, Mkoa wa...
10 years ago
Habarileo07 Jul
Kikwete ateua bosi mpya MSD
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Laurean Rugambwa Bwanakunu kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).
10 years ago
Habarileo09 Apr
Kikwete ateua Balozi mpya wa Saudia
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Hemed Iddi Mgaza kuwa Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia.
10 years ago
Vijimambo03 Jan
Rais ateua Mwanasheria Mkuu wa Serikali mpya
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F4.bp.blogspot.com%2F-LhD49zWjTIQ%2FVKhGVaWySZI%2FAAAAAAADUMw%2FbAnFpqcJ7hU%2Fs1600%2F0L7C3313.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2, 2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya...
10 years ago
Habarileo03 Jun
Sitta avunja Bodi ya Bandari, ateua mpya
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amefuta uteuzi wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA) kuanzia jana na kuteua wajumbe wengine wapya nane wanaounda bodi hiyo.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xYgEFKAncDY/U8jF8Cj_QfI/AAAAAAAF3N4/x014zjw1iOc/s72-c/unnamed+(28).jpg)
BAN KI MOON ATEUA MJUMBE WAKE MPYA WA ENEO LA MAZIWA MAKUU
11 years ago
Habarileo31 Dec
Ernest Mangu ndiye IGP mpya
Rais Jakaya Kikwete jana, amemteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-4Ltfy5zewXI/VIS0UhQ7O9I/AAAAAAADRJY/U3rl-7IWFlk/s72-c/uhuru%2Bna%2Bumoja.jpg)
RAIS KIKWETE ATEUA MKUU MPYA MMOJA WA MKOA NA KUWAHAMISHA VITUO VYA KAZI WENGINE SITA
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
![](http://2.bp.blogspot.com/-4Ltfy5zewXI/VIS0UhQ7O9I/AAAAAAADRJY/U3rl-7IWFlk/s1600/uhuru%2Bna%2Bumoja.jpg)
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mkuu Mpya mmoja wa Mkoa na kuwahamisha vituo vya kazi...