JK ateuliwa Mwenyekiti jopo la majanga ya afya duniani
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, amemteua Rais Jakaya Kikwete kuwa Mwenyekiti wa jopo la ngazi ya juu kuhusu Mwitikio wa Kimataifa wa Majanga ya Afya (High - Level Panel on Global Responses to Health Crises).
"Ni majukumu makubwa na yenye changamoto nyingi lakini dunia inahitaji tuwe na mikakati katika masuala haya ambayo ni muhimu kwa maisha ya binadamu, hivyo hatuna budi kufanya kazi hii kama mchango wetu kwa ajili ya maisha ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi16 Jul
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Ne77-EYD2nw/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 May
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-AeJNboRbDoE/VV4_cJeGEoI/AAAAAAAHY6U/ycNpYMLH20A/s72-c/0999700.jpg)
Dr. Winnie Mpanju-Shumbusho kutoka Tanzania ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Geneva, Uswisi
![](http://3.bp.blogspot.com/-AeJNboRbDoE/VV4_cJeGEoI/AAAAAAAHY6U/ycNpYMLH20A/s400/0999700.jpg)
Dr. Mpanju-Shumbusho ni mtaalamu na kiongozi mwenye uzoefu wa zaidi ya...
10 years ago
Habarileo18 Jul
Jopo la majanga lateta na WHO
JOPO la watu mashuhuri linaloangalia jinsi dunia inavyoweza kujikinga na kukabiliana na majanga ya magonjwa ya milipuko, chini ya Rais Jakaya Kikwete, limeendelea na kazi yake kwa kukutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Margaret Chan.
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Mugabe ateuliwa kuwa mwenyekiti wa AU
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Jopo la wabunge na wataalamu london laonyesha matumaini kutokomeza ukeketaji duniani
10 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Balozi Maajar ateuliwa Mwenyekiti bodi ya BOA
BALOZI Mwanaidi Sinare Maajar ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Benki ya Afrika (BOA) na kuidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huo, Balozi Maajar alikuwa mjumbe wa Bodi...
9 years ago
Habarileo10 Oct
Rais Kikwete ateuliwa Tume ya Elimu Duniani
RAIS Jakaya Kikwete ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Tume ya Kimataifa ya Kuchunguza Jinsi ya Kugharimia Elimu Duniani (TICFGEO). Tume hiyo, inayoongozwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Gordon Brown ambaye pia ni Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa (UN) wa Elimu Duniani, ina wajumbe 30, wakiwemo marais na mawaziri wakuu wa zamani, wataalamu wa elimu, wafanyabiashara kutoka sekta binafsi na wawakilishi wa mashirika yasiyokuwa ya kiserikali (NGOs) duniani.