Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete ateuliwa Tume ya Elimu Duniani

RAIS Jakaya Kikwete ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Tume ya Kimataifa ya Kuchunguza Jinsi ya Kugharimia Elimu Duniani (TICFGEO). Tume hiyo, inayoongozwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Gordon Brown ambaye pia ni Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa (UN) wa Elimu Duniani, ina wajumbe 30, wakiwemo marais na mawaziri wakuu wa zamani, wataalamu wa elimu, wafanyabiashara kutoka sekta binafsi na wawakilishi wa mashirika yasiyokuwa ya kiserikali (NGOs) duniani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA KANISA LA SEVENTH DAY ADVENTIST DUNIANI DKT TED N.C. WILSON IKULU

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo nakiongozi wa Rais wa kanisa la Seventh Day Adventist (SDA) duniani, Dkt. Ted N.C. Wilson aliyemtembelea pamoja na ujumbe wake wa viongozi wa kanisa hilo kutoka nchi 11 za Afrika Ikulu Jumamosi February 7,2015, Usiku jijini Dar es salaam.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo na kupata chakula cha usiku na kiongozi wa Rais wa kanisa la Seventh Day Adventist (SDA) duniani, Dkt. Ted N.C....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete hakuitendea haki tume ya Jaji Warioba

KILE kilichokuwa kikipiganiwa na Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, hadi kuvunja kanuni za Bunge hilo, kimedhihirika jana. Bado tunakumbuka jinsi Sitta alivyovunja kanuni kwa makusudi...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awaapisha wajumbe wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha wajumbe saba wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam .Wajumbe wa tume hiyo walioapishwa leo ni pamoja na Mwenyekiti wake Bwana Edrissa Mavura,Paul Herbert Kinemela(Kamishna), Bwana Mathias Bazi Kabundunguru(Kamishna),Bwana Njaa Ramadhani(Kamishna)Bwana Jones Kyaruzi Majura(Kamishna), Bwana Jaffari Ally Omari(Kamishna) na Bibi Suzane Charles Ndomba.Pichani ni wajumbe wa tume hiyo wakiwa katika picha ya...

 

10 years ago

Vijimambo

JK ateuliwa Mwenyekiti jopo la majanga ya afya duniani

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, amemteua Rais Jakaya Kikwete kuwa Mwenyekiti wa jopo la ngazi ya juu kuhusu Mwitikio wa Kimataifa wa Majanga ya Afya (High - Level Panel on Global Responses to Health Crises).

"Ni majukumu makubwa na yenye changamoto nyingi lakini dunia inahitaji tuwe na mikakati katika masuala haya ambayo ni muhimu kwa maisha ya binadamu, hivyo hatuna budi kufanya kazi hii kama mchango wetu kwa ajili ya maisha ya...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atembelea na kuaga rasmi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake kwa viongozi na wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika ukumbi wa mikutano wa Haki House makao makuu ya Tume hiyo jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bwana Tom Nyanduga wakati Rais alipotembelea na kuzungumza na wafanyakazi wa Tume hiyo jijini Dar es Salaam leo. Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mh.Tom...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2015 MOROGORO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa furaha alipowasili uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 kuongoza kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani  iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Mohamed Aziz Abood  Rais Kikwete akisalimiana na viongozi wa dini mkoa wa Morogoro Rais Kikwete akisalimiana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Alvaro Rodriguez Sehemu ya umati uliofurika uwanjani hapo Rais...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Unilever Duniani

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Unilever Duniani(Global CEO), Bwana Paul Poulman jijini Dar es Salaam jana(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya Utumishi wa Umma jijini Dar leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya utumishi wa Umma lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam .
Sehemu ya washiriki wa Kongamano la Maadhimiso ya miaka 10 ya tume yaUtumishi wa Umma lililofanyika jijini Dar es Salaam leoRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano la Maadhimiso ya miaka 10 ya tume ya Umma lililofanyika jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani