Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK atia kiwewe

JOTO la nani ataondolewa kwenye Baraza la Mawaziri na nani atateuliwa limeanza kupanda miongoni mwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tayari majina kadhaa yameshaanza kutajwa kurithi viti vya mawaziri...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

JK aingiwa kiwewe

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amewataka wanachama wake kuacha unyonge na uwoga katika chaguzi mbalimbali ili kukabiliana na baadhi ya vyama vya siasa ambavyo vinafikiria siasa...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa aleta kiwewe

NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM

SHUGHULI za wafanyabiashara kwenye masoko ya Tandale, Tandika na Kariakoo jijini Dar es Salaam, zimesimama kwa muda jana baada ya mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, kupita kwenye maeneo hayo.

Tofauti na juzi ambapo Lowassa alifanikiwa kufika kwenye kituo cha Daladala cha Gongo la Mboto bila kujulikana
na wananchi aliopishana nao njiani, jana baada ya kiongozi huyo kufika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bazara la Mbowe kiwewe

BARAZA jipya la mawaziri kivuli lililotangazwa juzi na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, limeanza kukitia kiwewe Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Daima Jumapili limebaini. Mbowe alilisuka...

 

9 years ago

Raia Mwema

Magufuli awatia kiwewe CCM

BAADHI ya wafanyabiashara kwa kushirikiana na sehemu ya viongozi waandamizi wa Chama Cha Mapinduz

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yapeleka kiwewe CCM

KWA siku 12 za Operesheni M4C Pamoja Daima, Chama cha Dekomrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekitia kiwewe Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho sasa kimelazimika kurejesha wabunge wake mikoani ili kujinusuru kutokana...

 

10 years ago

GPL

KIWEWE: NIPO NA MATUMAINI KIKAZI TU

Na Chande Abdallah/ Amani MKALI wa komedi anayeigiza kwa lafudhi ya Kichaga, Robert Agustino ‘Kiwewe’ amefunguka kuwa yeye na msanii mwenzake, Matumaini bado wanashirikiana kwenye kazi mbalimbali na kufuta uvumi kuwa wametengana baada ya kugombana. ‘Kiwewe’ akiwa na msanii mwenzake, Matumaini. Akiwamwagia ‘ubuyu’ Amani, Kiwewe alisema kuwa wengi hudhania yeye na Matumaini wamegombana jambo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UKAWA yatia kiwewe Serikali

SERIKALI imeonesha dalili za kukata tamaa ya kuendelea na mchakato wa Katiba mpya kutokana na wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutolegeza msimamo wa kurejea bungeni,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Warioba atia hofu CCM

KITENDO cha wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Jaji Joseph Warioba, kujitokeza katika mdahahlo na kujibu upotoshwaji ulioyokuwa ukifanywa na baadhi ya viongozi waandamizi wa Serikali...

 

9 years ago

Global Publishers

Mama Samia ampa kiwewe Sandra

sandra35Msanii wa filamu Bongo, Salama Salmini ‘Sandra.

Na Gladness Mallya
MAKUBWA! Msanii wa filamu Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ hivi karibuni alijikuta akipata kiwewe mbele ya Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu kwa kurudia kupiga naye picha zaidi ya mara mbili.

Ishu hiyo ilitokea wakati Mama Samia akiongoza kufanya usafi maeneo ya Kinondoni, Dar ambaye baada ya zoezi hilo, alipozi ili kupiga picha na wananchi mbalimbali waliojitokeza kuunga mkono wito wa Rais Magufuli wa kufanya usafi.

“Unajua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani